Parliament yenu bado imelala usingizi wa pono sio? Waganda wanafanya mambo yao haraka huku nyie mumezubaa tu.Mambo yanazidi kuwa mambo katika uwanja wa Mambo.
Kudos to Parliament of Republic of Uganda.
check second paragraph. Tz passed the same in August this yearParliament yenu bado imelala usingizi wa pono sio? Waganda wanafanya mambo yao haraka huku nyie mumezubaa tu.
Oh! My bad. Sasa wazungu wataaprove FID. Yaani wazungu huwa wanataka certainty. Kuna tender kadhaa bado hazijatoka hususan tenders za EACOP. Hizi tender za EACOP ambazo zimebakia naona zikitolewa very soon. Kwa sasa hakuna kinachozuia Wazungu kuanza rasmi ujenzi wa pipeline huu. Wazungu ninavyowajua kamwe hawangeweza kuanza kujenga pipeline hii bila sheria maalum kupitishwa. Sasa ngoja Museveni aitie sheria hio saini kisha wiki inayofuata uone jinsi tender zote zilizobakia zikimwagika kama maji. Kaa mkao wa kula sasa ndio ujenzi utaanza rasmi. Hata Total itamwaga pesa vibaya sana.check second paragraph. Tz passed the same in August this yearView attachment 2039675
Oh! My bad. Sasa wazungu wataaprove FID. Yaani wazungu huwa wanataka certainty. Kuna tender kadhaa bado hazijatoka hususan tenders za EACOP. Hizi tender za EACOP ambazo zimebakia naona zikitolewa very soon. Kwa sasa hakuna kinachozuia Wazungu kuanza rasmi ujenzi wa pipeline huu. Wazungu ninavyowajua kamwe hawangeweza kuanza kujenga pipeline hii bila sheria maalum kupitishwa. Sasa ngoja Museveni aitie sheria hio saini kisha wiki inayofuata uone jinsi tender zote zilizobakia zikimwagika kama maji. Kaa mkao wa kula sasa ndio ujenzi utaanza rasmi. Hata Total itamwaga pesa vibaya sana.
check second paragraph. Tz passed the same in August this yearView attachment 2039675
Karibu Tanzania ushiriki katika Mambo mazuri ya maendeleo, wachana na nchi ambayo 24/7 ni kusikiliza "toxic politics" pekee.Oh! My bad. Sasa wazungu wataaprove FID. Yaani wazungu huwa wanataka certainty. Kuna tender kadhaa bado hazijatoka hususan tenders za EACOP. Hizi tender za EACOP ambazo zimebakia naona zikitolewa very soon. Kwa sasa hakuna kinachozuia Wazungu kuanza rasmi ujenzi wa pipeline huu. Wazungu ninavyowajua kamwe hawangeweza kuanza kujenga pipeline hii bila sheria maalum kupitishwa. Sasa ngoja Museveni aitie sheria hio saini kisha wiki inayofuata uone jinsi tender zote zilizobakia zikimwagika kama maji. Kaa mkao wa kula sasa ndio ujenzi utaanza rasmi. Hata Total itamwaga pesa vibaya sana.
Hahaha Asante. Kenya kuanzia sasa kutakuwa na joto la siasa kali sana. Huu mwaka unaokuja utakuwa ni siasa mbele nyuma. Wakati wa kampeni sasa umewadia.Karibu Tanzania ushiriki katika Mambo mazuri ya maendeleo, wachana na nchi ambayo 24/7 ni kusikiliza "toxic politics" pekee.
Hahaha Asante. Kenya kuanzia sasa kutakuwa na joto la siasa kali sana. Huu mwaka unaokuja utakuwa ni siasa mbele nyuma. Wakati wa kampeni sasa umewadia.
Hahaha Asante. Kenya kuanzia sasa kutakuwa na joto la siasa kali sana. Huu mwaka unaokuja utakuwa ni siasa mbele nyuma. Wakati wa kampeni sasa umewadia.
Sasa Kama naibu rais ameamza kampeni miaka miwili kabla siku ya uchaguzi, kweli Kuna serikali madhubuti huko kwenu?Hahaha Asante. Kenya kuanzia sasa kutakuwa na joto la siasa kali sana. Huu mwaka unaokuja utakuwa ni siasa mbele nyuma. Wakati wa kampeni sasa umewadia.
Wosia mzuri huo.Lkn jifunzeni kuvumiliana, kwa maana mkipigana hakuna Kenya nyingine mtakayokimbilia.
Huyo jamaa mimi huwa simuelewi. Wakati wa kampeni bado haujafika. Ukifika utajua tu maana shughuli zote Kenya huwa zinasimama. Hata mawaziri wengine huwa wanajiuzulu na kufanya siasa. Hata wawekezaji wengine huwa wanasitisha kuwekeza Kenya mwaka wa uchaguzi ndio maana kila wakati wa uchaguzi ukuaji wa uchumi wa Kenya huwa unapungua. Ukuaji wa Gdp ya Kenya huwa inapungua sana mwaka wa uchaguzi. Nadhani wawekezaji wengine huwa wanasitisha uwekezaji.Sasa Kama naibu rais ameamza kampeni miaka miwili kabla siku ya uchaguzi, kweli Kuna serikali madhubuti huko kwenu?
Tony254 kwenye huu mradi Jitahidi ata kwa kushilikiana na mtanzania yeyote upate tender. Umoja ni nguvu ndo kauli yetu. Hapa jf wapo wengi tu unaweza kushilikiana nao. Ongea vizuri na joto la jiwe muone jinsi ya kushilikiana