Special thread: EACOP updates

Special thread: EACOP updates

Mambo yanazidi kuwa mambo katika uwanja wa Mambo.

Kudos to Parliament of Republic of Uganda.
Parliament yenu bado imelala usingizi wa pono sio? Waganda wanafanya mambo yao haraka huku nyie mumezubaa tu.
 
check second paragraph. Tz passed the same in August this year
Screenshot_2021-12-10-20-37-39.jpg
 
check second paragraph. Tz passed the same in August this yearView attachment 2039675
Oh! My bad. Sasa wazungu wataaprove FID. Yaani wazungu huwa wanataka certainty. Kuna tender kadhaa bado hazijatoka hususan tenders za EACOP. Hizi tender za EACOP ambazo zimebakia naona zikitolewa very soon. Kwa sasa hakuna kinachozuia Wazungu kuanza rasmi ujenzi wa pipeline huu. Wazungu ninavyowajua kamwe hawangeweza kuanza kujenga pipeline hii bila sheria maalum kupitishwa. Sasa ngoja Museveni aitie sheria hio saini kisha wiki inayofuata uone jinsi tender zote zilizobakia zikimwagika kama maji. Kaa mkao wa kula sasa ndio ujenzi utaanza rasmi. Hata Total itamwaga pesa vibaya sana.
 
Bro kaa mkao wa kula. Hii issue, I think is now real.
 
Karibu Tanzania ushiriki katika Mambo mazuri ya maendeleo, wachana na nchi ambayo 24/7 ni kusikiliza "toxic politics" pekee.
 
Hahaha Asante. Kenya kuanzia sasa kutakuwa na joto la siasa kali sana. Huu mwaka unaokuja utakuwa ni siasa mbele nyuma. Wakati wa kampeni sasa umewadia.

Lkn jifunzeni kuvumiliana, kwa maana mkipigana hakuna Kenya nyingine mtakayokimbilia.
 
Hahaha Asante. Kenya kuanzia sasa kutakuwa na joto la siasa kali sana. Huu mwaka unaokuja utakuwa ni siasa mbele nyuma. Wakati wa kampeni sasa umewadia.

Tony254 kwenye huu mradi Jitahidi ata kwa kushilikiana na mtanzania yeyote upate tender. Umoja ni nguvu ndo kauli yetu. Hapa jf wapo wengi tu unaweza kushilikiana nao. Ongea vizuri na joto la jiwe muone jinsi ya kushilikiana
 
Sasa Kama naibu rais ameamza kampeni miaka miwili kabla siku ya uchaguzi, kweli Kuna serikali madhubuti huko kwenu?
 
Huyo jamaa mimi huwa simuelewi. Wakati wa kampeni bado haujafika. Ukifika utajua tu maana shughuli zote Kenya huwa zinasimama. Hata mawaziri wengine huwa wanajiuzulu na kufanya siasa. Hata wawekezaji wengine huwa wanasitisha kuwekeza Kenya mwaka wa uchaguzi ndio maana kila wakati wa uchaguzi ukuaji wa uchumi wa Kenya huwa unapungua. Ukuaji wa Gdp ya Kenya huwa inapungua sana mwaka wa uchaguzi. Nadhani wawekezaji wengine huwa wanasitisha uwekezaji.
 
Tony254 kwenye huu mradi Jitahidi ata kwa kushilikiana na mtanzania yeyote upate tender. Umoja ni nguvu ndo kauli yetu. Hapa jf wapo wengi tu unaweza kushilikiana nao. Ongea vizuri na joto la jiwe muone jinsi ya kushilikiana

Huo ndiyo ushirikiano wa kweli wa waAfrika. Neema ikitokea kwa jirani ni yetu sote. Hata majanga yakija kwa jirani ni yetu sote. Ndiyo maana vita ikitokea kwa jirani, hukwepi kupata wakimbizi.
Vivyo hivyo kwa neema hii, akina Tony254 wanaweza kuja na kuungana na kina joto la jiwe wakaungana ili kufanya kazi.
 
BREAKING: The Parliament has approved The Income Tax (Amendment) (No. 2) Bill, 2021.

It's one of the three bills meant to facilitate management of oil and gas activities.

Source: Uganda National Oil Company.
 
Hivi ile EACOP BILL iliyopitishwa na Bunge imeshasainiwa na Museven?
Mwenye taarifa tafadhali.
 
Ni kweli, ngoja tufuatilie kama mzee Museveni ameikamilisha kwa kuisaini.
 
Back
Top Bottom