Special thread: EACOP updates

Special thread: EACOP updates

Wala hizi bill hazihusiani na petroleum Acts. Hizi zitahusu EACOP kama entity tu.
Eliakeem kwa hivyo tukuamini bila evidence? Mimi ninajitahidi kuleta evidence, wewe unajaza uzi wako kwa maneno matupu.
 
Hicho kinachoongelewa na waziri ni kitu kingine na wewe unaongea yako. Waziri anasema kuhusu bill ya EACOP, lkn wewe unaongelea kuhusu petroleum regulations. These are two different things.
 
Wewe jana si ndio ulisema kwamba tayari mumepitisha sheria ya petroleum ya 2014 kwa hivyo hamstahili kupitisha sheria mpya? Nilikuwa nakuweka sawa yaani kukuonyesha tu kwamba ulikuwa wrong.
Hiyo ni east african bill ndio wanaongelea.
 
fortune favours the brave
Screenshot_2021-06-18-11-36-23.jpg
 
Huu mradi sioni kama utatransform Tanzania sana. Malazy mnapata $3 billion from gold ila nchi bado imeparara kama mburukenge. Usitegemee hio $1 billion per year ya mafuta kubadilisha chochote.
 
Wishful thinking.
Huu mradi tayari tumeuweka kibindoni. Kama hutaki kameze wembe.
Or go to hug the beehive.
🤣🤣🤣
 
Huu mradi sioni kama utatransform Tanzania sana. Malazy mnapata $3 billion from gold ila nchi bado imeparara kama mburukenge. Usitegemee hio $1 billion per year ya mafuta kubadilisha chochote.
hahah. hii comment inenifurahisha sana. kwani kwenye mambo ya bill vipi
 
Kwani unadhani hio $1 billion ndio itafanya nini? Nchi kama Angola inaexport karibia 2 million barrels per day na bado nchi imejichokea hata tumewashinda kwenye Gdp.
 
Comment zingine bana.
Yaani kwa akili yako unafikiri citizens welfare ya Angola iko sawa na ya Kenya.
Ila sindano zinakugonga ki sawasawa.
🤣 🤣 🤣
 
hahah. hii comment inenifurahisha sana. kwani kwenye mambo ya bill vipi

Ya bill tuliasha mpa kibano. Sasa anaongea kama yuko usingizini anaota. Teh teh tihii
 
80% of the project will be in TZView attachment 1822894
Usisahau Uganda wana Tilenga na Kingfisher. Nyinyi mna 80% ya pipeline lakini Uganda wana share kubwa zaidi ya mradi wote ukijumulisha pamoja na oil production facilities. Kwa hivyo upunguze maringo. Uganda bado wana percentage kubwa wa mradi huu. Hata refinery itajengwa Uganda.
 
Nani kwani kasema tutakuwa na share kubwa kuliko Uganda? Uganda ndiye mwenye mali.
Punguza maumivu.
😅🤣😃
 
Back
Top Bottom