Special thread: EACOP updates

Special thread: EACOP updates

hivi wewe unaelewa kweli au unaishi kibera, is drillng part of EACOP
Ninakuweka tu sawa. Construction itaanza Tilenga. EACOP itafuata baada ya wiki kadhaa. Angalia contracts zilizotolewa tayari most of them ni za Tilenga.
 
Ninakuweka tu sawa. Construction itaanza Tilenga. EACOP itafuata baadaye
sasa hapa sisi tunaongelea tilenga kwani? kila mtu anajua kuwa Mcdermotte Uk was recently awarded, and Engineering and procurement started way back in tilenga. EACOP construction will start in TZ kama hujui ndio nakwambia sasa
 
Ninakuweka tu sawa. Construction itaanza Tilenga. EACOP itafuata baada ya wiki kadhaa. Angalia contracts zilizotolewa tayari most of them ni za Tilenga.
BTW Umeona GoK ikiongelea hii project? Wakina CS Keter wanajua hawapati kitu!
 
sasa hapa sisi tunaongelea tilenga kwani? kila mtu anajua kuwa Mcdermotte Uk was recently awarded, and Engineering and procurement started way back in tilenga. EACOP construction will start in TZ kama hujui ndio nakwambia sasa
Sawa. Nilikuwa najua. Wacha tuone ujenzi wa EACOP utaanza lini. Mungu tu ndiye anajua.
 
This meeting is on, you can join if you are interested
Screenshot_2021-06-22-11-27-22.jpg
 
Nilimwambia tony254 kuwa construction itaanza TZ akabisha
Mimi sikubisha kwamba Eacop itaanza TZ. Mimi nilisema kwamba mradi wote utaanza UG halafu EACOP itafuata baadaye. Sasa section ya Uganda (oil production) ilishaanza tayari. Angalia tender zilizotolewa ni za wapi?. Nyinyi ndio wa mwisho. Ngoja tender yenu itatolewa tu, msiwe na haraka.
 
Hebu toa huu ukumbavu wako hapa. Ratiba ya ujinga tu. Ratiba inasema eti kwamba mafuta yatafika Tanga mwaka wa 2019
Huwa naburudika sana nikiona unatoa povu kiasi hicho kama foma.
🤣🤣🤣
 
Huwa naburudika sana nikiona unatoa povu kiasi hicho kama foma.
🤣🤣🤣
Vipi unaweka ratiba inayosema kwamba mradi wa pipeline ulikuwa ukamilike 2019 ilhali sasa hivi tuko 2021 na ujenzi bado haujaanza? Hata SGR yenu phase 1 ambayo ilikuwa ikamilike November 2019, haijakamilika ilhali tuko 2021.
 
Yaa nimewapigia simu, wanasema watarekebisha.
 
Back
Top Bottom