this sums it allKazi iendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
this sums it allKazi iendelee.
Mh i doubt pipeline za crude oil si mchezo!Zipo kampuni za Tanzania zitazalisha mabomba ya mradi wote , Hakuna hata pisi moja itatoka ulaya au Asia
Mh i doubt pipeline za crude oil si mchezo!
sasa tangu lini HDPE and PVC pipeline zinatumika kupitisha crude oil? mzee technology ya crude oil pipeline ipo advanced so far nimeskia kiwanda cha ku-coat the steel pipelines to be imported nadhani kitakuwa Nzega au Tanga! labda kama kuna kiwanda kingine kitajengwa cha steel pipelines na za vipenyo vikubwa (nadhani 24-36 inch)! Hamna mtu anyetaka hizo pipeline zitoke hapa nchini ila kaka labda kama Wachina wa Liganga na Mchuchuma wanegkuwa wamewekeza!
Upo sawa, hilo bomba litakuwa la kwanza Duniani kupitisha mafuta yenye joto kwa umbali mrefu , inahitajika teknolojia ya kiwango cha juu.sasa tangu lini HDPE and PVC pipeline zinatumika kupitisha crude oil? mzee technology ya crude oil pipeline ipo advanced so far nimeskia kiwanda cha ku-coat the steel pipelines to be imported nadhani kitakuwa Nzega au Tanga! labda kama kuna kiwanda kingine kitajengwa cha steel pipelines na za vipenyo vikubwa (nadhani 24-36 inch)! Hamna mtu anyetaka hizo pipeline zitoke hapa nchini ila kaka labda kama Wachina wa Liganga na Mchuchuma wanegkuwa wamewekeza!
Sisi sio waongo kama nyie... Kumbuka kuhusu Likoni bridgeHio kick off nimeingojea mpaka nikachoka.
Twende taratibu. Phase 1 Dar-Moro imeanza kufanya kazi? Usiniambie mambo ya Sindiria sijui wapi huko.Iko Singida sasa, inayoyoma kuelekea Nzega kwenda Mwanza.