Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za kujifunza js
Kwa sasa ninajua HTML,CSS
Ahsanten na natumai mtanipa ufunguzi.
Kwa sasa ninajua HTML,CSS
Ahsanten na natumai mtanipa ufunguzi.