ITM Tanzania Ltd
Member
- Feb 1, 2021
- 82
- 21
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Gladiator4440 ,Hawa ni matapeli wakubwa! Sitosahau walichonifanya! Kuweni makini
Hawa mbona wana office kabisa pale Victoria jengo la Tanzanite Park,inawezekanaje watumie pesa nyingi kulipa kodi pale halafu wawe matapeli wa ajira?Hawa ni matapeli wakubwa! Sitosahau walichonifanya! Kuweni makini
Business development manager naweza apply ? Nina bsc forestry lakin nimesoma kozi nyingi za uchumi ndani yake inaweza onekana kwenye academic transcript
Ahsante mkuu Mtuturas kwa maoni yako. Tumeyapokea na tutayafikisha mahali husika.nyie jamaa ili kuondoa kashfa ya utapeli ni vyema mngekuwa mnapost pia majina ya walioitwa kwenye usaili pamoja na waliofanikiwa kuchauliwa sio mnatangaza tu kazi LA SIVYO NYIE MTAKUWA MATAPELI
Habari mkuu Kunguru wa ManzeseBusiness development manager naweza apply ? Nina bsc forestry lakin nimesoma kozi nyingi za uchumi ndani yake inaweza onekana kwenye academic transcript
Ahsante kwa mrejesho wako mkuu kyanyangweHawa jamaa nimefanya nao interview recently, sio wabaya..sema watu wanaofanyia watu usaili ndio inabidi waimprove..sio MATAPELI kwa kweli.wana office zao nzuri tu pale tanzanite tower.