Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Hiyo namba 2 ni kauli ya Rais kweli au?View attachment 3510468
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"
4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"
5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"
6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"
7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"
8. "Mimi ndio Raisi wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.
Ameshawapa ushahidi ICC kwamba yeye ndiye kaagiza mauaji.View attachment 3510468

Mhhh! Hili nalo litapita
. Huenda anajikaanga kwa mafuta yake au ni yale ya panzi akaribiapo kufa huota mabawa akatuka na kunguru wakamdaka na kumla?
View attachment 3510468
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"
4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"
5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"
6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"
7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"
8. "Mimi ndio Raisi wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.
ICC wameshindwa kuwadaka wakina Netanyahu na wengine.Ameshawapa ushahidi ICC kwamba yeye ndiye kaagiza mauaji.
Mbona unajitoa na kuwapa mamlaka wengine kwani wewe sio mzalendo hauwezi kufanya jambo ?Huy
Huyu mtu kwa kweli anakera sana. Yani anakupasua alafu anakusimanga kama Floyd Mayweather.
Huyu kama siyo wazalendo kumtoa basi tutalimia meno hii miaka 5.
"Wazalendo " wafanye jambo.
Point ni kwamba kakubali kwa dunia nzima kwamba yeye kaagiza mauaji.ICC wameshindwa kuwadaka wakina Netanyahu na wengine.
ICC ni bunch of Scumbabags hawana makali yeyote.
Bado sijaiona substance ya kupelekea ICC kukubaliana kufungua hiyo ‘kesi’Ameshawapa ushahidi ICC kwamba yeye ndiye kaagiza mauaji.