ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Nitashukuru sana mkuu. Pia ukiwa unanijibu naomba ushauri wako kama 2m by 60cm spacing ni ideal kwa hali ya hewa ya mkoa wa Pwani na kilimo cha tikitiAnyways, ninaomba nipumzike kidogo then kesho hopeful ntakujibu kwa undani hasa swali la kwanza!!
Uwe na usiku mwema mkuu na karibu sana!
What brand is this, Netafim? Hizo pipe zake najua diameter ni 6mm je widhth ni milimetre ngapi??1. Wasoliana na Bw. Simon, aliyetuma post namba 16. Yupo Dodoma.
2. Hivi karibuni alinipa bei hizi: Connector moja tunauza 500....filter moja 160,000...drippipe 450 kwa mita lakini kama unachukua roller nzima ya mita 1000 bei inakua 400,000[\color]
Bei zake zipo poa kuliko wengi.
3. Pia kuna NGO ipo Kenya wanauza bei poa sana. Sijafanya nao conversation.
4. Generally, Wabongo wenhi wanaumiza mno.
What brand is this, Netafim? Hizo pipe zake najua diameter ni 6mm je widhth ni milimetre ngapi??
Kwa roller moja ya 1000m hizo connector zinahitajika ngapi ili nijue total gharama ya vifaa including hio filter??
Je mna Venturi kwa ajili ya kuwekea mbolea??
Please respond and give me ur office location/contact coz im your potential client.
Mi pia ninazo, niliagiza kwa ajili ya Shamba zimebaki,What brand is this, Netafim? Hizo pipe zake najua diameter ni 6mm je widhth ni milimetre ngapi??
Kwa roller moja ya 1000m hizo connector zinahitajika ngapi ili nijue total gharama ya vifaa including hio filter??
Je mna Venturi kwa ajili ya kuwekea mbolea??
Please respond and give me ur office location/contact coz im your potential client.
Nimekutumia PMMi pia ninazo, niliagiza kwa ajili ya Shamba zimebaki,
Kila Roller ni Meter 1,500, nauza 250,000 kwa roller,
Emitter Spacing 30cm & 50c,
16mm width
Ninakupatia na Connectors Pcs 100 & End Lock Cap Pcs 100 free,
Napatikana Kijitonyama
Mkuu naomba namba yako ya simu please!Mi pia ninazo, niliagiza kwa ajili ya Shamba zimebaki,
Kila Roller ni Meter 1,500, nauza 250,000 kwa roller,
Emitter Spacing 30cm & 50c,
16mm width
Ninakupatia na Connectors Pcs 100 & End Lock Cap Pcs 100 free,
Napatikana Kijitonyama
Cheki inboxMkuu naomba namba yako ya simu please!
Okey nimejaribu kuja na majibu haya!Habari mkuu..
Kwanza nashukuru sana kwa kujitolea bure kwa vijana wenzio elimu hii ya umwagiliaji ili kupata ufanisi kwenye kilimo.
Pili nashukuru kuna mdau katoa mawasiliano wa dealers wa China wanaouza driplines na solar pumps. Tunapigwa sana mjini. Binafsi nahitaji drip system kuna local dealer anataka 2mil kwa drip za 2000m.
Tatu ningependa kama kuna mdau ana mawasiliano ya dealers wa drip lines za Israel kampuni ya Netafim. Naskia system zao ni durable sana alafu hii teknolojia ya umwagiliaji imeanzia huko.
To the point, naomba nisaidie majibu ya maswali haya;
1. Shamba langu liko Mkuranga udongo wa mchanga, je kujua kiwango cha maji ntachotumia natakiwa nipige hesabu ya lita ngapi za maji kwa kila shimo kwa siku?? Assuming idadi ya shimo ni sawa na idadi ya matundu ya driplines. Nalima tikiti na spacing ni 2m kwa 60cm.
Shukrani
Hapa unaongelea mfumo unaoitwa fertigation katika drip irrigation. kwa mfumo wako utahitaji tank ambapo mbolea ya chumvi chumvi utaichanganya katika tank lako likiwa maji!! sasa hapa nikupe tahadhari, kuna kiwango cha mbolea unatakiwa uweke kwenye kila lita za maji na ukiidisha unaweza usipate matokeo mazuri.Kwa system hii je nkitaka kutumia mbolea ya maji au soluble fertilzers natakiwa kuwa na kifaa chochote additional au mbolea naitia kwenye tenki but hili tenki nanywea maji pia. Nina mazuri ya kisima.
3. Je maji yanafunguliwa the whole day ama kwa muda fulani tu wa siku kisha mpaka kesho yake?
Hapa inategemea na mbegu ulizonunua je wali specify spacing ya umbali gani? nadhani mtaalam wa mimea atakuja kukupa jibu kamili kwenye hili swali.Nitashukuru sana mkuu. Pia ukiwa unanijibu naomba ushauri wako kama 2m by 60cm spacing ni ideal kwa hali ya hewa ya mkoa wa Pwani na kilimo cha tikiti
Nashukuru sana kwa darasa lako mkuu.Okey nimejaribu kuja na majibu haya!
Assumptions i made!
- weather data nimetumia za DSM airport. Zaeneo lako sikuweza pata intime so nimetumia za DSM Airport kama refenrence yetu as ni eneo ambalo liko karibu na wilaya yako na zinaendana katika tabia ya hali ya hewa!
- Disharge au rate ya kutoa maji ya tundu moja la dripline yako (Emitter) nimechukulia kama lita moja kwa lisaa (1.0 L/h).
- Farm area nimechukulia kama eka moja na hamna mvua inayonyesha siku chache kabla au ya kumwagilia.
- Emitter/tundu moja mpaka nyingine ni umbali wa 60cm au 0.6m.
- Crop: tikiti maji/ water melon.
- Spacing kati ya mmea na na mmea ni 60cm, drip line na dripline 2m! (2mx0.6m).
- Soil type: Sandy soil/kichanga.
- Kwakuwa ukubwa shamba ni eka moja then litakuwa na 70mx70m. So ndani ya eka moja utahitaji:
Data kutokana na hali ya hewa.
- 35m drip line each with 70 meter
- Jumla utahitaji approx. 2500m (35x70m = 2450m)za drip line (based on my assumption that you have an acre of a field with 70mx70m).
- Number ya plant katika mstari wenye nafasi ya 60cm tundu hadi tundu ni (70/0.6 = 116.6666 crops) 116 plants approx.
- jumla ya mazao ndani ya eka moja ni 116x35 = 4060 plants kama kila shimo utaweka mmea mmoja!
Crop coefficient at initial stage (Kc) = 0.4
Reference evapotranspiration (ETo) = 4.5mm per day
water requirement (ETc) = ETo*Kc
Water requrement (ETc) = 2mm per day au 0.006mita per day. So utahitaji 2.0 mm za maji kila siku kwa ajili ya mmea wako katika stage ya kwanza ya ukuaji.
So net irrigation water requirement per plant ni ETc * cross spacing ya mmea ambayo itakua 0.002m/day*2m*0.6m sawa na makadirio ya lita mbili kwa siku kwa mmea!!
Generally I can say utahitaji kuanzia lita moja na nusu mpaka lita mbili au mbili na nusu siku. Ukitaka kuapata ujazo kamili au total volume of water kwa eka nzima itakua ni 2lita per plant per day ukizidisha na idadi ya mimea ambapo itachezea kuanzia lita za ujazo 6000 mpaka 8000! Na haya ni makadirio ya stage ya kwanza ya ukuaji wa mmea/Tikiti maji ambayo yatarage kuanzia siku 20 mpaka siku 30 za mwanzo za ukuaji wa mmea! NB: makadirio haya yatabadilika kulingana na ukuaji wa mmea, yaani middle stage ambapo mahitaji ya maji yataongezeka!!
Hapa unaongelea mfumo unaoitwa fertigation katika drip irrigation. kwa mfumo wako utahitaji tank ambapo mbolea ya chumvi chumvi utaichanganya katika tank lako likiwa maji!! sasa hapa nikupe tahadhari, kuna kiwango cha mbolea unatakiwa uweke kwenye kila lita za maji na ukiidisha unaweza usipate matokeo mazuri.
Anyways siwezi ongelea sana mbolea maana mimi sio agronomist kwa elimu zaidi juu ya mbolea kuna uzi uko kwenye stick hapo juu wa kilimomaarifa.tajiri ameelezea vizuri naimani ataweza pia kukuelekeza ni kiwango gani cha mbolea utahitaji kuchanganya na maji kiasi gani!
No hautamwagilia siku nzima! hapa itategemea na irrigation frequency au interval yako umeiset ya muda gani. hii inahitaji somo lake, nadhani nitaikava kwa undani nikipata wasaa mwingine!!
Karibu.
Kwahio hapa issue nafikiri ni zaidi kwenye efficiency and not cost saving. Nkimaanisha unamwagia maji yanaenda sehemu husika (mzizi) kuliko umwagiliaji traditional ambao maji mengi hupotea. Kwa hesabu za haraka haraka kwa eneo la heka moja kama una emitters 3000 na lita 2 za maji kwa siku times siku 55 za umwagiliaji wa tikiti total cost ya mafuta at Tzs2200 kwa lita assuming lita 1 inajaza 3000mls...Okey nimejaribu kuja na majibu haya!
Assumptions i made!
- weather data nimetumia za DSM airport. Zaeneo lako sikuweza pata intime so nimetumia za DSM Airport kama refenrence yetu as ni eneo ambalo liko karibu na wilaya yako na zinaendana katika tabia ya hali ya hewa!
- Disharge au rate ya kutoa maji ya tundu moja la dripline yako (Emitter) nimechukulia kama lita moja kwa lisaa (1.0 L/h).
- Farm area nimechukulia kama eka moja na hamna mvua inayonyesha siku chache kabla au ya kumwagilia.
- Emitter/tundu moja mpaka nyingine ni umbali wa 60cm au 0.6m.
- Crop: tikiti maji/ water melon.
- Spacing kati ya mmea na na mmea ni 60cm, drip line na dripline 2m! (2mx0.6m).
- Soil type: Sandy soil/kichanga.
- Kwakuwa ukubwa shamba ni eka moja then litakuwa na 70mx70m. So ndani ya eka moja utahitaji:
Data kutokana na hali ya hewa.
- 35m drip line each with 70 meter
- Jumla utahitaji approx. 2500m (35x70m = 2450m)za drip line (based on my assumption that you have an acre of a field with 70mx70m).
- Number ya plant katika mstari wenye nafasi ya 60cm tundu hadi tundu ni (70/0.6 = 116.6666 crops) 116 plants approx.
- jumla ya mazao ndani ya eka moja ni 116x35 = 4060 plants kama kila shimo utaweka mmea mmoja!
Crop coefficient at initial stage (Kc) = 0.4
Reference evapotranspiration (ETo) = 4.5mm per day
water requirement (ETc) = ETo*Kc
Water requrement (ETc) = 2mm per day au 0.006mita per day. So utahitaji 2.0 mm za maji kila siku kwa ajili ya mmea wako katika stage ya kwanza ya ukuaji.
So net irrigation water requirement per plant ni ETc * cross spacing ya mmea ambayo itakua 0.002m/day*2m*0.6m sawa na makadirio ya lita mbili kwa siku kwa mmea!!
Generally I can say utahitaji kuanzia lita moja na nusu mpaka lita mbili au mbili na nusu siku. Ukitaka kuapata ujazo kamili au total volume of water kwa eka nzima itakua ni 2lita per plant per day ukizidisha na idadi ya mimea ambapo itachezea kuanzia lita za ujazo 6000 mpaka 8000! Na haya ni makadirio ya stage ya kwanza ya ukuaji wa mmea/Tikiti maji ambayo yatarage kuanzia siku 20 mpaka siku 30 za mwanzo za ukuaji wa mmea! NB: makadirio haya yatabadilika kulingana na ukuaji wa mmea, yaani middle stage ambapo mahitaji ya maji yataongezeka!!
Hapa unaongelea mfumo unaoitwa fertigation katika drip irrigation. kwa mfumo wako utahitaji tank ambapo mbolea ya chumvi chumvi utaichanganya katika tank lako likiwa maji!! sasa hapa nikupe tahadhari, kuna kiwango cha mbolea unatakiwa uweke kwenye kila lita za maji na ukiidisha unaweza usipate matokeo mazuri.
Anyways siwezi ongelea sana mbolea maana mimi sio agronomist kwa elimu zaidi juu ya mbolea kuna uzi uko kwenye stick hapo juu wa kilimomaarifa.tajiri ameelezea vizuri naimani ataweza pia kukuelekeza ni kiwango gani cha mbolea utahitaji kuchanganya na maji kiasi gani!
No hautamwagilia siku nzima! hapa itategemea na irrigation frequency au interval yako umeiset ya muda gani. hii inahitaji somo lake, nadhani nitaikava kwa undani nikipata wasaa mwingine!!
Karibu.
Hapa inategemea na mbegu ulizonunua je wali specify spacing ya umbali gani? nadhani mtaalam wa mimea atakuja kukupa jibu kamili kwenye hili swali.
Cc kilimomaarifa.tajiri
Kwa tikiti mkoa wa pwani unaweza kulima.Tikiti linapenda Sandy soil,au Sandy clay( kichanga,au Kichanga mfinyanzi, usiwe mfinyanzi tupu, kwa spacing ya tikiti,tumia mita 1 kutoka shimo hadi shimo ndani ya mstari,na mita 3 kutoka mstari hadi mstari. Mbegu nazopendekeza kutumika ni Sukari F1, Zebra f1 ( Balton Tanzania), Kito F1 ( toka Seedco), na Juliana F1 toka Kiboseed .Kiasi cha Mbegu kwa aina ya Sukari F1 tumia gram 150 kwa eka 1 unapanda mbegu 1 kwa shina, kwa kito F1 tumia gram 500 unapanda mbegu 2 kwa shina. ,mbegu zingine gram 300-500 zinatosha kwa eka 1.
Shukrani kwa ushauri wako mkuu ila naomba kidogo nku-challenge hapo kwenye spacing.. kuna baadhi ya wakulima nimewasikia wanasema spacing inategemeana na hali ya hewa ya kipindi husika, je unaliongeleaje hilo kwa hio recomendatoin yako ya 1m*3m hapo juu?? Jamaa yangu mmoja anadai kipindi cha jua kali ni vizuri kuweka mashimo karibu ili mashina yakutane na kutengeneza kivuli kwa matunda but kipindi cha baridi mashimo yawe mbali sababu mashina hurefuka sana kipindi hicho na yanahitaji kuachana ili yapate mwanga wa jua vizuri kwa ajili ya photosynthesis.Kwa tikiti mkoa wa pwani unaweza kulima.Tikiti linapenda Sandy soil,au Sandy clay( kichanga,au Kichanga mfinyanzi, usiwe mfinyanzi tupu, kwa spacing ya tikiti,tumia mita 1 kutoka shimo hadi shimo ndani ya mstari,na mita 3 kutoka mstari hadi mstari. Mbegu nazopendekeza kutumika ni Sukari F1, Zebra f1 ( Balton Tanzania), Kito F1 ( toka Seedco), na Juliana F1 toka Kiboseed .Kiasi cha Mbegu kwa aina ya Sukari F1 tumia gram 150 kwa eka 1 unapanda mbegu 1 kwa shina, kwa kito F1 tumia gram 500 unapanda mbegu 2 kwa shina. ,mbegu zingine gram 300-500 zinatosha kwa eka 1.