Ni wazo zuri sana, lakini sisi waTz tuna homa kali sana ya kukosa uaminifuwadau nlikua na wazo,kwa wale walio sereous na kilimo cha drip irrigation,why tusiungane tukatengeneza mahitaji ya mashamba yetu then tukaagiza mzigo kwa pamoja in bulk ktk container....tunachanga fee ya clearing,na vi tax vya Tra,mzigo ukitoka tunagawana...hii itakua cheap sana...hii inaweza kwenda mbali zaidi tukawa na umoja wa wanakilimo wamwagiliaji...tukawa tunatembeleana tunapeana Uzoefu na utaalam...
Uaminifu upi bro,tutakacho share ni container,supplier na kodi za Tra...tukitoa mzigo kila mtu anachukua wake,tukiagiza in bulk tutasave shipping cost na kupata better price kwa supplierNi wazo zuri sana, lakini sisi waTz tuna homa kali sana ya kukosa uaminifu
Boss udongo wa kilosa uko vipi mkuu... au unahitaji mbolea sana shamba heka moja bei ukikadiria inafika kiasi gani...? panafaa kichimba maji tuje tupambane ntashukuru sana boss... niko Iringa town apaItakuwa vyema sana mkuu Upepo wa Pesa. Mi mwenyewe niko na shamba langu la ekari 10 linapakana na mto wenye maji mengi muda wote huko Kilosa. Ningependa nijue ABCs za kilimo cha umwagiliaji kabla sijaanza uwekezaji.
Uaminifu upi bro,tutakacho share ni container,supplier na kodi za Tra...tukitoa mzigo kila mtu anachukua wake,tukiagiza in bulk tutasave shipping cost na kupata better price kwa supplier
Maagent wote wanazijua hizo hs code, na wakikuwekea wazi wewe watakosa ulaji. Ngoja nitafute link nikupeBro unaweza kushare nasi izo HS code za TRA...ili ht mtu akiagiza anampa tu agent wake wa clearing izo HS code inakua rahisi maana ukikosea mwanzoni kubadilisha HS code ni mlolongo na hapo ndipo vijana wa TRA watakapo taka hongo wakusaidie
Sasa hii kitu unafanya wewe na anayekuuzia kabla ya kufoward kwa agent. Najua watanuna sana.Bro unaweza kushare nasi izo HS code za TRA...ili ht mtu akiagiza anampa tu agent wake wa clearing izo HS code inakua rahisi maana ukikosea mwanzoni kubadilisha HS code ni mlolongo na hapo ndipo vijana wa TRA watakapo taka hongo wakusaidie
China ni ghali,Thnx mkuu...ila why india and not China...naona km wachina wana bei nzuri zaidi?
Mi nadhani uki share nasi hio kampuni itakua poa sana
Vipi matokeo yamekuaje? Je bonde liliathiri??Na hapo nilikuwa napima ubora wa emitters kuona je zitafanya kazi tofauti? Je bonde lina athari ktk utowaji wake wa maji?
Shukrani kwa kushare nasi!! Je bei zao ziko kwa roll ya mita1000??
Anapatikana na watsp pia.
Kwa lolote nitawasaidia ktk ujenzi wa taifa.
Wanauza kwa mita ngoja nitafute nikutumieShukrani kwa kushare nasi!! Je bei zao ziko kwa roll ya mita1000??
Ukilipia wao wanakutafutia agent wa kusafirisha au wewe??
Inachukua muda gani mpaka kufika tz??
Je agents ulimpataje? Na ulimlipa kiasi gani??
Thanks in advance!