sisame
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 365
- 320
Ni wazo zuri sana, lakini sisi waTz tuna homa kali sana ya kukosa uaminifuwadau nlikua na wazo,kwa wale walio sereous na kilimo cha drip irrigation,why tusiungane tukatengeneza mahitaji ya mashamba yetu then tukaagiza mzigo kwa pamoja in bulk ktk container....tunachanga fee ya clearing,na vi tax vya Tra,mzigo ukitoka tunagawana...hii itakua cheap sana...hii inaweza kwenda mbali zaidi tukawa na umoja wa wanakilimo wamwagiliaji...tukawa tunatembeleana tunapeana Uzoefu na utaalam...