SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno.

Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag.

View attachment 3303058
1. Hivi nanyinyi huwa mnakuwa na nyege?
2. Huwa pia mnawatamani kimapenzi baadhi ya wanaume mnaokutana nao barabarani kama Sisi tunavyotamani tukikutana na dem kisu na kajazia nyuma?
3. Huwa pia mnafanya musterbation?
4. Ni style gani huwa mnaipenda kwenye sita kwa sita?
4. Ni kitu gani au sehemu gani ya mwili wa mwanaume huwa mnavutiwa nayo Sana mpaka unatamani ufanye nae mapenzi?
 
Kwa nini baadhi ya wanawake wanapenda kuvaa nguo fupi sana kiasi kwamba hata kuinama mbele za watu ni mtihani? Pia kwa nini wanawake wengine wanapenda kucheza vigoma na kukata viuno kwenye madirisha ya mabasi hasa daladala wanazokodi kupelekwa kwenye shuhuri? Hawaoni ni hatari kwao?
 
Jamaa hili linawaza mizagamuano tu...
 
Upo na hoja ujibiwe
 
1. Hivi nanyinyi huwa mnakuwa na nyege?
NDIYO, sana tu
2. Huwa pia mnawatamani kimapenzi baadhi ya wanaume mnaokutana nao barabarani kama Sisi tunavyotamani tukikutana na dem kisu na kajazia nyuma?
Binafsi hapana
3. Huwa pia mnafanya musterbation?
NDIYO
4. Ni style gani huwa mnaipenda kwenye sita kwa sita?
Inategemea mtu na mtu ila kukuna nazi huwa inatupa amsha amsha sana.
4. Ni kitu gani au sehemu gani ya mwili wa mwanaume huwa mnavutiwa nayo Sana mpaka unatamani ufanye nae mapenzi?
Inategemea, ila mwili unaoonyesha ukakamavu na siyo shida za kiafya.
Binafsi kwenye tendo mkuki tu uwe umesimama imara, vingine ni vionjo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…