SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Kwanini kabla hatujawapata huwa mnanukia vizuri mnapendeza hatuskii hali yoyote mbaya ila tukishawapata mnakua na kiharufu flan hivi kibaya kibaya kinachomfanya mtu awakinai?
Utakuwa na matatizo binafsi.kuna watu huwa Wana shida ya kukinai wenza wao
Anakuwa na tabia ya kuwa na wapenzi wapya mara kwa mara .ni ugonjwa unaitaji tiba
Mfano Mimi siwezi kutumia pafyumu muda mrefu .mwanzoni naiona nzuri baada ya muda naikinai.
 
Sentences 3 za mwanza mbona kama umenilenga Mimi kijana WA watu
 
Hivi ile miguno mnayotoa wakati wa tendo inakujaga tu kama tendo lisilo la hiari au mnatuigizia?

Mamndenyi
​
Tunaigiza kwa asilimia kubwa especially kama mtu anakuboa I mean Hana utamu ili apate mzuka akojoe mapema
Pia sometimes inasaidia kumpa bichwa mwenye kibamia ajione mtu katika watu kumbe ushuzi Tu
Tatu maokoto babu .kumpa bichwa mwanaume ajione anaekula vizuri ili aongeze maokoto
Ukiwa bubu unakopwa Hadi nauli
 
Back
Top Bottom