SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Kwa nini mnafinya kwa ndani na kumfanya kijana asiye na uzoefu anaanza kujigamba mitaani kwa kudai kuwa amemtoa mtu bikra.

Hamuoni kuwa ni kitu kibaya na mungu hapendi?
Kijana yotote anayetafuta mwanamke bikra au anayejigamba ameitoa anastahili kudanganywa.

Hao pia huwa wanadanganywa kuhusu kumko💦za mwanamke ili wajione vidume na waliwe visenti vyao vizuri.
 
Jamaa inaonekana uLijiandaa sana na hii fursa ya maswali.ANYWAY WANAJISIKIAJE PALE WANAPOFIKA MSHINDO.?
 
Nasubiri wajibu hili swali
 
1. Ndio
2. Hapana hatuko kama nyie
3.Ndio ila Kwa asilimia ndogo kuliko nyie
4.kuikalia Kwa juu 😋😋a.k.a Kuna nazi au kujipimia
5. Kwa upande wangu ni muonekano wake awe kichwani na kipara smart na ndevu za kiume,,sauti ya kiume,anukie uzuri ,msafi👌aaah wee😋😋😋
 
Kwanini kabla hatujawapata huwa mnanukia vizuri mnapendeza hatuskii hali yoyote mbaya ila tukishawapata mnakua na kiharufu flan hivi kibaya kibaya kinachomfanya mtu awakinai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…