Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Matarajio yanakuwa tofauti na malengoHivi Kwa nini ma single mother wengi hawataki kurudiana na wazazi wenzao,,Ila wakipata mtu mwingine wanarudi kwa wazazi wenzao kupigwa machine?
Wadogo zangu Anastasia21 na Binti Sayuni03 njooni minisaidie kujibu hili swali hapo juu!Jamaa inaonekana uLijiandaa sana na hii fursa ya maswali.
ANYWAY WANAJISIKIAJE PALE WANAPOFIKA MSHINDO.?
Utakuwa na matatizo binafsi.kuna watu huwa Wana shida ya kukinai wenza waoKwanini kabla hatujawapata huwa mnanukia vizuri mnapendeza hatuskii hali yoyote mbaya ila tukishawapata mnakua na kiharufu flan hivi kibaya kibaya kinachomfanya mtu awakinai?
Ndio sisi tunawaangalia kwa chini nyie mnatuonea aibuWewe huwa unafungua?
Sentences 3 za mwanza mbona kama umenilenga Mimi kijana WA watuUtakuwa na matatizo binafsi.kuna watu huwa Wana shida ya kukinai wenza wao
Anakuwa na tabia ya kuwa na wapenzi wapya mara kwa mara .ni ugonjwa unaitaji tiba
Mfano Mimi siwezi kutumia pafyumu muda mrefu .mwanzoni naiona nzuri baada ya muda naikinai.
HayanukiMatarajio yanakuwa tofauti na malengo
Mavi ya kale?
Hawa watoto WA elf mbili ndo mnahonga pesa zenu alaf zetu tukiwanyima n vurugu na ugomviTunahonga
Style gani inawakuna vizuriNiulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno.
Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag.
View attachment 3303058
Wanawake hatujawahi kuwa na pesa.Liwake mvua, inyeshe jua naomba mnijibu swali hili tu.
Hivi pesa zenu huwa mnazipeleka wapi?
Tunaigiza kwa asilimia kubwa especially kama mtu anakuboa I mean Hana utamu ili apate mzuka akojoe mapemaHivi ile miguno mnayotoa wakati wa tendo inakujaga tu kama tendo lisilo la hiari au mnatuigizia?
Mamndenyi
Pole ni ugonjwa.hata kwa wanawake ipo yaani ukishalala na mtu humtaki tena unaanza kufukuzia kibamia kipya .ipo Sana yaaniSentences 3 za mwanza mbona kama umenilenga Mimi kijana WA watu