SPECIAL THREAD; Kutambuana jinsia(ke,me)

SPECIAL THREAD; Kutambuana jinsia(ke,me)

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Huu uzi ni kwa ajili ya kuitambulisha jinsia yako.Nadhani 7ya10 ya member humu mumewahi kukutana na kadhia hii,unachangia uzi alafu anakuja mjin#@ anakuuliza wewe ni ke au me.Mimi kwa upande wangu swali hili linañikera sana hadi kufikia kutoa lugha chafu kwa baadhi ya member. Lakini baada ya kuchunguza nikagunduwa sio kosa lao tatizo hatujuani jinsia.
Hivyo nikaona ni vyema kutambulishana jinsia zetu ili kuondoa hii mikanganyiko.Profile Pictures haitoshi kukutambulisha kwani baadhi ya member wanatumia dp za jinsia tofauti na zao lakini wana sababu zao.

Unachotakiwa kufanya ni kuandika user name yako alafu kwa mbele unaweka jinsia yako.

Like.forumyangu(Me).Naomba tutoe ushirikiano
 
Kuna siku nilicomments kwenye uzi mmoja sasa kuna jamaa aliQuote ile comment yangu avatar yake pic ya mdada si nikataka kuingiza maneno matamu jamaa kumbe Beberu kama mimi nimekoma mpaka leo kuwatokea wadada sijui wakaka wa jf.😉😀😀😀
 
Ndo hivyo mkuu unaweza kurusha ndoana kwa kidume mwenzio
 
Back
Top Bottom