Special thread kwa wale tuliokua tunachafua siti cover za magari na nyumba kwa kupiga machata.

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Moderators naomba msiufute uzi huu haufanani na mwingine wowote na unajitegemea.
Tukumbushane tabia yako wakati uko kwenye ujana, ulipokua sekondari au shule ya. Msingi... Au hata kama Sasa bado unafanya huu mchezo.
Zamani tulikua tunaandika kwenye kuta, kwenye seat cover za mabus, AU hata maeneo mengine wenye uzoefu mtayataja na kuandika majina yako au hata matusi wakati mwingine (japo matusi) sio lengo la uzi huu...
Tukumbushe wewe ulishawahi kuandika au kupiga chata wapi??
Je ulikua unatumia mkaa, kalamu, maker pen au nini kwenye kuandika?
 
wasifute wakati umeposit matusi? yaani watanzania bwana, halafu ukifutwa utasikia hivi mamod mna nini, sijui mmenionea kweli
 
nlianza kupga chata lang la "valley boy" ktk daladala tangia naanza kidato cha kwanza mpaka namalza kidato cha nne mwaka 2005 ktk shule ya sekondari Bismarck jijin Mwanza, pia nkaendeleza kupga machata kwa kubadili a.k.a na kuandika "caveat emptor" ktk daladala za jijin Dar es Salaam nlipojiunga na shule ya sekondari ya wavulana ya Azania kuanzia kidato cha tano mpaka namalza kidato cha sita mwaka 2008.
 
Azania mlikua mnaongoza kwa kupiga machata kwenye magari
 
Nikiwa secondary meza yangu haikuwa na sehemu ambayo haijaandikwa
Lakini baada yakumaliza shule niliwahi kwenda na wavuvi huko Zanzibar kwenye mapango pango sikumbuki panaitwaje tia machata sana tulienda pia bmoyo kwenye mgofu mmoja hivi weka sana alama

South afrika nimewahi kukaa jela kama Siku sita hivi basi kuanzia central mahakamani mpaka jela fully machataa

Kama unanijua ukifika hayo maeneo utaona kweli sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…