moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Moderators naomba msiufute uzi huu haufanani na mwingine wowote na unajitegemea.
Tukumbushane tabia yako wakati uko kwenye ujana, ulipokua sekondari au shule ya. Msingi... Au hata kama Sasa bado unafanya huu mchezo.
Zamani tulikua tunaandika kwenye kuta, kwenye seat cover za mabus, AU hata maeneo mengine wenye uzoefu mtayataja na kuandika majina yako au hata matusi wakati mwingine (japo matusi) sio lengo la uzi huu...
Tukumbushe wewe ulishawahi kuandika au kupiga chata wapi??
Je ulikua unatumia mkaa, kalamu, maker pen au nini kwenye kuandika?