Lazima mpigwe vita kwani kuna mtu anataka kutawaliwa na Rangi zetu za Mtume hizi
tena umkute yule mwenyewe sio wa kuchovya kama sisi..Utajuta
Naona umepasahau Bomani... Enzi zake kulikuwa na kiwanja standard cha basketball......
Huna mdogo wako mkuu nimchukue maana sitaki kutupia mbegu mbali na shamba la nyumbani tulinde Koo zetu.serious kama yupo fanya maajabu am still single boy
Wewe ushakuwa mjanja si umeshajua mpk majamiiforum..me nasemea wale wa kutoka mtinko ndani ndani
Sikupingi najua wewe wajua hili kuliko Mimi [emoji23][emoji23][emoji2960]
Ukajua ni mwarabu eeeh..maana wanajua kupendeza haoooo Asilimia 80 wote ni smart wanajua utanashati haswaaa...UKAJICHANGANYA MASKINI kwa mnyampaaa hahahaha Demissssssssssss
sema na nyie kweli bwana hamjui kukataa kwani uongooo...Oooh mara tuitwe Malaya tatizo sisi wa singida tuna nyota alafu wazur tunatongozwa sanaaa ndo maana wanatuitaaa malayaaa mxeeew watuacheee bhn
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha saivi umehamia mkoa gani maana wanyampaa ndo ushawaogopa...Nenda TANGA kuna bamia kama zoteeee
Unawasha moto ama
Kipo kuna mtu nilisikia anauza ila nimemsahau jina ila Lissu naye alishakipigia promo siku za nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna mdogo wako mkuu nimchukue maana sitaki kutupia mbegu mbali na shamba la nyumbani tulinde Koo zetu.serious kama yupo fanya maajabu am still single boy
Wewe ushakuwa mjanja si umeshajua mpk majamiiforum..me nasemea wale wa kutoka mtinko ndani ndani
Sikupingi najua wewe wajua hili kuliko Mimi [emoji23][emoji23][emoji2960]
Ukajua ni mwarabu eeeh..maana wanajua kupendeza haoooo Asilimia 80 wote ni smart wanajua utanashati haswaaa...UKAJICHANGANYA MASKINI kwa mnyampaaa hahahaha Demissssssssssss
sema na nyie kweli bwana hamjui kukataa kwani uongooo...