LGE2024 Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa

LGE2024 Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uzi huu utakuwa maalum kurekodi matukio haya kadri yatakavyotokea na kuyapata

Chadema wanatishia kuwauwa wasimamizi wa uchaguzi kama hawatawapa ushindi
 
Japo machawa na mama yao wameishaanza kusherehekea, naweza kusema kwa kujiamini kuwa kinachoendelea ni uchafuzi unapoteza fedha na muda wa watanzania. Tungemtangaza Samia Malkia na CCM kiwe chama cha kifalme yaishe waache kutupotezea fedha na muda mbali na kututeka, kutupoteza, kutuua, na kutupigia mikelele. Ni aibu.
 
Wakuu,

Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uzi huu utakuwa maalum kurekodi matukio haya kadri yatakavyotokea na kuyapata

Uchafuzi wa uchaguzi kila mahali.
 
Kama kawaida yao mtu mmoja kapiga kura za watu wote
 
Rais Samia alipomhamishia Mchengerwa kwenye wizara ya TAMISEMI alisema amempa (Mchengerwa ) nafasi hiyo kwasabb ana kifua kipana.

Nadhani sisi sote sasa tunajua mapana ya kifua cha Mchengerwa yako ktk nyanja zipi.

Kupitia kifua kipana cha Mchengerwa uchaguzi serikali za mitaa umebakwa bila aibu, wagombea wa upinzani wameuawa mchana kweupe, na mawakala wa vyama vya upinzani wamenyimwa fomu.

Ama kweli Mchengerwa ana kifua kipana.
 
Kazi iendelee waungwana, comments ziwe fupi fupi,hii kitu nimeikuta mjini kati nikasema tugawane umaskin waungwana
 
Attachments

  • Screenshot_20241128-001257~2.png
    Screenshot_20241128-001257~2.png
    143.1 KB · Views: 6
Kawada mbona tutayaona mengi ndugu we tulia tuu
Nacheka kimoyo moyo ila mcc mungu anawaona
Hahaaaaaaaaaa
 
Kawada mbona tutayaona mengi ndugu we tulia tuu
Nacheka kimoyo moyo ila mcc mungu anawaona
Hahaaaaaaaaaa
Hahahaha chief, tutafika mbinguni tumechoka yani kila nikitafakari jins taifa linavyoendelea najikuta naumia kama vile ndo nimeachika, naona tena hakuna thaman but kikubwa mtu ukipata basic needs tu ahmdullilah mengn yatajisumbukia yenyew
 
Back
Top Bottom