Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Akina Pele, Maradona, Ronadinho, etc - hao woote wamepita.
Lakini je, nani kati yao aliyemzidi Messi kwenye uchawi wa ku-dribble (msisahau na kufunga pia)??
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling
Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!
Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.

Keyword....CONSISTENCY.
Catchword......PRODUCTIVITY (92 goals a year!).
So, mchezaji ku-dribble akiwa amebinyua midomo, kukenua meno, kukata mauno, kunyanyua vidole kama mcheza taarabu, nk......hiyo pekee haitoshi bila ya hizo keyword na catchword hapo juu.
Common sense!!!
So unataka kuniambia ukiwa unajua sana ku-dribble lazima ufunge magoli mengi?embu nieleze St. Gaucho anatoa mchango gani kwa kila timu anayopitia iwe Taifa lake au Clubs,na hapo hapo nataka uniambie mafanikio ya Gaucho katika kusaidia timu yake kushinda hii ni mbali ya magoli ya kipekee na ya ufundi anayoyafunga?mbona Messi hatumwoni aki-dribble na hata kufunga hayo magoli akiwa Timu ya Taifa lake,kwanini iwe Barcelona tuu? Kwangu mimi St Gaucho ni kama Dege la Marekani,B-52.
Messi yuko juu kila kukicha..Lionel messi