Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

Akina Pele, Maradona, Ronadinho, etc - hao woote wamepita.

Lakini je, nani kati yao aliyemzidi Messi kwenye uchawi wa ku-dribble (msisahau na kufunga pia)??

Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling

Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!

Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
 
Honestly dinho hayumo hata top ten ya best dribblers .. huyu messi kuchukua mpira katikati na kwenda nao hadi golini ni issue ya kawaida na anafanya kila mara (dinho alikuwa na uwezo huo lakini mara chache ). Juzi alivorudi kafunga goli hadi ibrahimovic kasema hiki kitu hakiwezekani kwa player wa kawaida kinapatikana kwenye computer games tu ....
 
kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
 
Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.

Keyword....CONSISTENCY.

Catchword......PRODUCTIVITY (92 goals a year!).

So, mchezaji ku-dribble akiwa amebinyua midomo, kukenua meno, kukata mauno, kunyanyua vidole kama mcheza taarabu, nk......hiyo pekee haitoshi bila ya hizo keyword na catchword hapo juu.

Common sense!!!
 
So unataka kuniambia ukiwa unajua sana ku-dribble lazima ufunge magoli mengi?embu nieleze St. Gaucho anatoa mchango gani kwa kila timu anayopitia iwe Taifa lake au Clubs,na hapo hapo nataka uniambie mafanikio ya Gaucho katika kusaidia timu yake kushinda hii ni mbali ya magoli ya kipekee na ya ufundi anayoyafunga?mbona Messi hatumwoni aki-dribble na hata kufunga hayo magoli akiwa Timu ya Taifa lake,kwanini iwe Barcelona tuu? Kwangu mimi St Gaucho ni kama Dege la Marekani,B-52.
 
Labda nahisi huangalii mpira unaskia tu sehem matokeo .. honestly messi kaipeleka tim yake ya taifa w.cup tena mapeema kabisa kwa uwezo wake binafsi .. angalia kule kwao w.cup qualif magoli na na assist za dogo zipo ngapi then urudi hapa useme messi anacheza barca tu . .. mdogo kabisa aliipa argentina ubingwa wa olympic huku akiwatoa brazil na dinho ndani na mwisho wa mechi dinho anamfuata messi kumpa pongezi , ukiangalia hyo mechi hutabisha tena ,bado akawaua nigeria vibaya sana ,kuna sehem messi anakimbiza beki 6 za nigeria huwez amin anatoa pasi ya goli clear kabisa .. mwisho akaibuka mchezaji bora wa michuano .. .. nenda you tube kijana clip zipo andika messi vs brazil vitu utakavyokutana navyo utaogopa ..
 
hapa ugomvi ni hamjaelewana maana ya ku dribble.
tafuta goal la messi vs getafe. linalofanana na la maradona ndio utajua maana ya ku dribble
 
Lionel messi
 
Attachments

  • 1471631751258.jpg
    1471631751258.jpg
    6.6 KB · Views: 191
Back
Top Bottom