Ni kweli mkuu ni kama bilioni 30 na usheeKazidisha kwa tatu
Pogba yupi mkuu maana nasikia na TZ kuna PogbaDuh, sasa nani anapesa kati ya Messi Na Ronaldo, ngoja tuone Na dau la Progba
Kutoa ni moyo si utajiriPogba yupi mkuu maana nasikia na TZ kuna Pogba
Ingekuwa Tanzania hizo rambi rambi.wangenunulia ndege mpya.nchi ya ovyo kabisa hii.
PSG wametoa Euro 40m