Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

Kwa tuliofuatilia mpambano Wa fc barcelona na Osasuna mechi ya mapema Leo,tumeshuhudia jinsi kiumbe huyu akifunga bao la 3 kwa kuwavuruga na kuwaangusha then kuwapita mabeki watano,hii sio kawaida!mbali ya goli la awali alilofunga na assist alizotoa ktk goli a kwanza,huyu MTU ni _Nomaa
 
The Argentinian maestro'he is player from another dimension. Messi never fails to surprise u......

Without doubt life is easier with Messi. We are used to seeing him do everything possible. You see it every weekend, but we see it every day.......

He plays every game with the same hunger and ambition........

Look how he also ran in defence.......
 
Mi mwenyewe huwa nafurahi kama Ramos anavo furahia ikifika dakika ya 90 hivi kupiga goli ya kichwa.

Halafu bro ee
Uzi wa Barca siuoni mme upeleka wap!!?
Upo kwenye stick
 
Mi mwenyewe huwa nafurahi kama Ramos anavo furahia ikifika dakika ya 90 hivi kupiga goli ya kichwa.

Halafu bro ee
Uzi wa Barca siuoni mme upeleka wap!!?

Ulimuona jana bola técnico/Mejor jugador de todos los tiempos' La Pulga???
Hakuna mtu mwingine wa kufunga aina ya lile goli salute kwake, utamkubali tu😀

very talented guy...tuache ushabiki @ Iceman!!!!!! The King anatumia akili sana so u can't imagine ktk position ile anaweza sumbua beki vile alone naakafunga then usimpe pongezi zake...tunakuwa hatumtendei haki huyu kiumbe,kama mwanamichezo u will apreciate...it

Thread ipo sema haionekani kama ilivyozoeleka hapo nyuma....ingia utaiona juu mwanzo wa thread zenye red colours....
 
Mi natumia app ya simu so hamna rangi.

But usjali ntauona tuu huo uzi
 
King Messi kwa match ya Jana nilishindwa kutambus kwa uhalisia kama ni MTU wa sayar hii?
Atakuwa ni MTU Fulani hivi kutoka huko sayar zingne kabisa maana dunian hakuna wa kulingana wala kufanana nae. Huyu ndo mchezaji bora 2016/207.
 
uko sawa mkuu
 
Hana jipya anayarudia yaleyale tulioyachoka.
 
Mimi ndio shabiki WA damu WA Barcelona WA kweli

Ha ha haa Mkuu vipi tena kulikoni!!!! Ivi unajua Barca bila Messi si chochote ni sawasawa na gari bila matairi!!!!!! Why umchukie bila sababu yakhee...inabidi umkubali tu no way...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom