Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King Messi leo kafanya yake
Missi is a fraud
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umeanza!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona tunatisha ndugu!?
Mi mwenyewe huwa nafurahi kama Ramos anavo furahia ikifika dakika ya 90 hivi kupiga goli ya kichwa.😀huwa nafurahi mno nikikuona.....
Upo kwenye stickMi mwenyewe huwa nafurahi kama Ramos anavo furahia ikifika dakika ya 90 hivi kupiga goli ya kichwa.
Halafu bro ee
Uzi wa Barca siuoni mme upeleka wap!!?
Mi mwenyewe huwa nafurahi kama Ramos anavo furahia ikifika dakika ya 90 hivi kupiga goli ya kichwa.
Halafu bro ee
Uzi wa Barca siuoni mme upeleka wap!!?
Mi natumia app ya simu so hamna rangi.Ulimuona jana bola técnico/Mejor jugador de todos los tiempos' La Pulga???
Hakuna mtu mwingine wa kufunga aina ya lile goli salute kwake, utamkubali tu😀
very talented guy...tuache ushabiki @ Iceman!!!!!! The King anatumia akili sana so u can't imagine ktk position ile anaweza sumbua beki vile alone naakafunga then usimpe pongezi zake...tunakuwa hatumtendei haki huyu kiumbe,kama mwanamichezo u will apreciate...it
Thread ipo sema haionekani kama ilivyozoeleka hapo nyuma....ingia utaiona juu mwanzo wa thread zenye red colours....
uko sawa mkuuKing Messi kwa match ya Jana nilishindwa kutambus kwa uhalisia kama ni MTU wa sayar hii?
Atakuwa ni MTU Fulani hivi kutoka huko sayar zingne kabisa maana dunian hakuna wa kulingana wala kufanana nae. Huyu ndo mchezaji bora 2016/207.
Hana jipya anayarudia yaleyale tulioyachoka.King Messi kwa match ya Jana nilishindwa kutambus kwa uhalisia kama ni MTU wa sayar hii?
Atakuwa ni MTU Fulani hivi kutoka huko sayar zingne kabisa maana dunian hakuna wa kulingana wala kufanana nae. Huyu ndo mchezaji bora 2016/207.
endelea kujipambanua unayejiita mshabiki wa BARCAHana jipya anayarudia yaleyale tulioyachoka.
Mimi ndio shabiki WA damu WA Barcelona WA kweliendelea kujipambanua unayejiita mshabiki wa BARCA
Mimi ndio shabiki WA damu WA Barcelona WA kweli
Hana jipya anayarudia yaleyale tulioyachoka.