Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gattuso aliulizwa jinsi ya kumzuia ronaldo akasema mzuie kutokea mguu wake wa kulia kuhusu messi akasema piga magoti upige ishara ya msalaba.....hicho kiumbe hata ukirukie hukipati check clip za pepe vs messiHuyu wanamchekea..piga kiatu mwanzo mwisho uone kama ata drible
Mbona kwenye copa america alikuwa mchumba tuGattuso aliulizwa jinsi ya kumzuia ronaldo akasema mzuie kutokea mguu wake wa kulia kuhusu messi akasema piga magoti upige ishara ya msalaba.....hicho kiumbe hata ukirukie hukipati check clip za pepe vs messi
Nafikiri huo ni mtazamo wako lakini kaa ukijua duniani hakuna kama messiUnachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
Tunawachangiaji wa ajabu haijawai tokea,,hoja yakitoto kabisa hii eti aende timu nyingine wapi,,,,kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
Pele hakuwa dribbler!Akina Pele, Maradona, Ronadinho, etc - hao woote wamepita.
Lakini je, nani kati yao aliyemzidi Messi kwenye uchawi wa ku-dribble (msisahau na kufunga pia)??
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling
Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!
Unafaham ukimzungumzia messi unauzungumzia Mpira na ukiuzungumzia mpira unauzungumzia messi nizaid ya mpira na ukitaka kuujua mpira anza kumjua messiUnachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
We una mawili:Unafaham ukimzungumzia messi unauzungumzia Mpira na ukiuzungumzia mpira unauzungumzia messi nizaid ya mpira na ukitaka kuujua mpira anza kumjua messi
[emoji53] [emoji53] [emoji53] Hivi km kweli ndo ivyo kwa hiyo barca walipenda wenyewe tu kupigwa na kutolewa nje champions league!!sasa neymar alikuwa analia nini au alikuwa anafanya komedi tu??
Ila kweli messi atafute tu mahali ambapo anaweza kuwa bora coz huku duniani Ronaldo kashawahi kitambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hyo Thomas muller yuko level nyingne....? Maana huyu nae anasumbua kwelkwel kwenye world cup na team ya taifa...!We una mawili:
1. Wewe una mahaba na Messi..
2.hiyo ikapeleke sasa We kuwa ni mshabiki wa Barca kindakindaki..
Ronaldo de Lima umewahi kumuona? Angalia moves zake World Cup..
Hata Maradona Angalia moves zake World cup..
World cup tunaamini nchi zilizofuzu zimepitia michujo ya kutosha... So mtu anayefanya wonders kwenye kombe hilo,ujue yuko vizuri. Vinginevyo, ni hizo sababu mbili hapo juu.
Barca hadi timu zao za under 20,17,.. zinasumbua vilabu vingine si mchezo..
Ambako ndiko alikokulia Messi.