Special thread : Messi Magics

Gattuso aliulizwa jinsi ya kumzuia ronaldo akasema mzuie kutokea mguu wake wa kulia kuhusu messi akasema piga magoti upige ishara ya msalaba.....hicho kiumbe hata ukirukie hukipati check clip za pepe vs messi
Mbona kwenye copa america alikuwa mchumba tu
 
Nafikiri huo ni mtazamo wako lakini kaa ukijua duniani hakuna kama messi
 
Pele hakuwa dribbler!
Dinho namba 1 akifuatiwa na Messi.
 
Unafaham ukimzungumzia messi unauzungumzia Mpira na ukiuzungumzia mpira unauzungumzia messi nizaid ya mpira na ukitaka kuujua mpira anza kumjua messi
 
Wadau mliouangalia Mpira wa Jana kati ya Real Madrid Na Barcelona mtakubaliana nami kuwa Mchezaji Christian Ronaldo ni mchezaji bora wa sayari ya Dunia.Lakini mchezaji Leon Messi sio wa dunia hii yeye ni wa Sayari nyingine kabisa.Messi anauambia mpira ufanye atakavyo lakini Ronaldo anaufuata mpira utakavyo
 
Unafaham ukimzungumzia messi unauzungumzia Mpira na ukiuzungumzia mpira unauzungumzia messi nizaid ya mpira na ukitaka kuujua mpira anza kumjua messi
We una mawili:
1. Wewe una mahaba na Messi..
2.hiyo ikapeleke sasa We kuwa ni mshabiki wa Barca kindakindaki..

Ronaldo de Lima umewahi kumuona? Angalia moves zake World Cup..
Hata Maradona Angalia moves zake World cup..

World cup tunaamini nchi zilizofuzu zimepitia michujo ya kutosha... So mtu anayefanya wonders kwenye kombe hilo,ujue yuko vizuri. Vinginevyo, ni hizo sababu mbili hapo juu.

Barca hadi timu zao za under 20,17,.. zinasumbua vilabu vingine si mchezo..
Ambako ndiko alikokulia Messi.
 
[emoji53] [emoji53] [emoji53] Hivi km kweli ndo ivyo kwa hiyo barca walipenda wenyewe tu kupigwa na kutolewa nje champions league!!sasa neymar alikuwa analia nini au alikuwa anafanya komedi tu??

Ila kweli messi atafute tu mahali ambapo anaweza kuwa bora coz huku duniani Ronaldo kashawahi kitambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ronaldo nyumbani hajafunga hata goli ila mesi katupia mawili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
 


pole mkuu,huyo ndo andunje,hongera kwa kuonja uchungu wa kimguu chake
 
Hivi mess ashachukua world cup akiwa Argentina? Vipi Gaucho Pele na Maradona?
 
Kwa hyo Thomas muller yuko level nyingne....? Maana huyu nae anasumbua kwelkwel kwenye world cup na team ya taifa...!

Vp kuhusu George wa wear...huyu nae hakuwah kufanya vizur world cup...


Unapokua mchambuz wa mpira lazma utafakar sana..Kuna wachezaj kwenye team za Taifa sio bora lakn kwenye club zao wanakua hatar sana..

Mfano wa wachezaj walio bora mda wote Katka maisha yao ya soka lakn world. Cup hakuna kitu n
Kaka, Ronaldinho, Lionel mess,cr7, romario, del piero, Frank rijkad, Johan calf, pev nedved, Fernand hierro, Paul Scholes, na wengneo weng...

Kwa ujumla club ndo inayompa cfa mchezaj maana ndo sehem anayolipwa kulingana na performance yake na ndo anapooneshea kiwango chake halis.. Nation team n sehem ya kutengenezea historia..,
Kwa Africa mastaa huwa wanaamua kujifcha kwenye injuries il accheze nation team...
So let's judge accordingly...
 
Badala ya watu kuchambua soka mnaanza matusi na kejeli Messi ana mazuri mengi ila sifa zingine mnazizisha hebu punguzeni mapenzi tulete fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…