Hizo fainali 3 za argentina alizoingia si kafungwa zote.? Tena na Brazil.
Halafu hiyo unayoita best player yafaa nini na huku kombe hujachukua.? Nitajie mchezaji mwingine aliyepewa tuzo ya best player katika mashindano yoyote na huku hajachukua kombe. Ndo ujue messi kuna baadhi ya tuzo kabebwa.
Kama balon dor ya 2010 ilikuwa full utata. Hata haieleweki alipewa ile uzo kwa kigezo kipi. Maana kama unakumbuka mwaka huo, Barcelona walikosa UEFA, UCL alichukua inter, World cup walichukua Spain kwa kuifung uholanzi fainali, Magoli ya world cup waliongoza Muller na Sneijder. Huku argentina ikitoka 16 bora. Yaani ni full fitna ilikuwa.