Special thread : Messi Magics

Best player worldcup tournament
Best player michuano ya south america

Final 3

Haha wa hovyo akiwa Argentina ,ndugu muone daktari akupe dawa ya kupunguza chuki

Hizo fainali 3 za argentina alizoingia si kafungwa zote.? Tena na Brazil.

Halafu hiyo unayoita best player yafaa nini na huku kombe hujachukua.? Nitajie mchezaji mwingine aliyepewa tuzo ya best player katika mashindano yoyote na huku hajachukua kombe. Ndo ujue messi kuna baadhi ya tuzo kabebwa.

Kama balon dor ya 2010 ilikuwa full utata. Hata haieleweki alipewa ile uzo kwa kigezo kipi. Maana kama unakumbuka mwaka huo, Barcelona walikosa UEFA, UCL alichukua inter, World cup walichukua Spain kwa kuifung uholanzi fainali, Magoli ya world cup waliongoza Muller na Sneijder. Huku argentina ikitoka 16 bora. Yaani ni full fitna ilikuwa.
 
Mbona hujiulizi 2014 Ronaldo/Real Madrid walitoka kapa hata kombe la kahawa hawakuchukua ila ballon dor alipewa ronaldo mbona hauhoji utata huo

Hoja ya pili world cup ya 2006 mchezaji bora alikuwa zidane wakati kombe walichukua Italy hivyo alipendelewa kwa point yako au ?

Mwisho kufika fainali tu kwenye michuano hio mikibwa lazima utoe appreciation
 
tena siyo tatu, Nimecheki hapa google, Messi kaingia fainali za copa america nne na kafugwa zote nne. Ya mwisho ni hii ya juzi kati waliyofungwa na chile kwa penalt.
 
Nitajie Carlo Anceloti alichukua UCL na real madrid mwaka gani.?

Una uhakika Zidane alikuwa mchezaji bora 2006.? na Fabio canavaro alipewa tuzo ipi.?
 
Mpira umeanza kuuangalia lini? Ukijibu hapo nitakuwa nimepata namna ya kukufafanulia zaid

Mimi ni Barca damu, ila ukome kulinganisha Gaucho na vitu vya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie Carlo Anceloti alichukua UCL na real madrid mwaka gani.?

Una uhakika Zidane alikuwa mchezaji bora 2006.? na Fabio canavaro alipewa tuzo ipi.?
2013 messi alishinda la liga na copa ,ribery alishinda uefa

Ronaldo alitoka kapa ila alichukua mpaka ribery aliongea sana

2006 cannavaro alibeba ballon dor ila mchezaji bora wa michuano alikuwa zizzou
 
Mpira umeanza kuuangalia lini? Ukijibu hapo nitakuwa nimepata namna ya kukufafanulia zaid

Mimi ni Barca damu, ila ukome kulinganisha Gaucho na vitu vya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa jamaa wanamkosea heshima Gaucho. Gaucho huwezi mfananisha na Messi. Gaucho ni level nyingine aisee. Mimi ni real madrid fan, Lakini nina heshima ya kipekee kwa huyo mtu
 
2013 messi alishinda la liga na copa , ribery alishinda uefa

Ronaldo alitoka kapa ila alichukua mpaka ribery aliongea sana

2006 cannavaro alibeba ballon dor ila mchezaji bora wa michuano alikuwa zizzou

Umesahau top scorer kwa misimu yote hiyo alikuwa nani.? Ribery alichukua UCL lakini hakukuwa na uspecial wowote ule. CR7 msimu ule ndo alitikisa kwa kuvunja rekodi ya kufunga goli 17 za UCL, huku akiwa na goli za kumwaga La liga
 
Tumerudi kwenye hoja ya msingi

2010 messi alifikisha magoli 92 na kuvunja rekodi ya guerd muller
 
Tumerudi kwenye hoja ya msingi

2010 messi alifikisha magoli 92 na kuvunja rekodi ya guerd muller

you cant be serious goli hizo 92 messi alifunga mwaka 2012 na siyo 2010. Yaani bado haielezeki ile tuzo ya 2010 messi aliipataje. Na serious ile tuzo ya 2010 ilikuwa ni kubebwa live, Kama unakumbuka ni tuzo ile Mourinho alilalamika kura walizopiga zilidukuliwa na hazikupewa kwa wale waliowapigia.

Au una cha kujustify kuwa ni kivipi messi 2010 tuzo ya Ballon dor aliipataje.?
 
Messi babaa. King babaa_Twakuomba ufikishe miaka 70 ndani ya Nou camp. Waargentina noma sana. Dybala naye anakuja kuwa King after Leo Leo Leo 10/original Megician. kudadadeki

Aguero naye anazidi kukamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…