Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kweli vile vichwa havifichiki aisee. Maybe hawakutaka tuwamiss, basi mimi siwamiss.Mama sidhani. They can't hide their intelligence......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli vile vichwa havifichiki aisee. Maybe hawakutaka tuwamiss, basi mimi siwamiss.Mama sidhani. They can't hide their intelligence......
Ngoja tuone unakuaga binadamu mbishi ila mwisho wa siku i win...Hahaha sasa sicheki tena na wew
Niamin mimi na kesho utajionea
[emoji1374][emoji1374][emoji1374]Touching story, pole sana
Ha haaaaa ujanja wote huo kumbe una wivu?Nakumbuka kuna siku alinipigia story...loh sikulala.
Hongera Sana mpendwamahaba kama yote yaani.
Afadhali!!Babe nini mbaya! You know vile nakupenda mume wangu right?
Sasa usipolala kwa raha mie vitalalika kweli?
Ah wee wivu upo sema ni jinsi sasa unavyo react....kwangu mie ni kwamba siwezi eti kuanza kumwambia mwanamke oh usitombwe na wanaume wengine...hilo siwezi.Ha haaaaa ujanja wote huo kumbe una wivu?
YaaniKweli vile vichwa havifichiki aisee. Maybe hawakutaka tuwamiss, basi mimi siwamiss.
Mimi na wewe tena!! Nakupenda hadi naogopa.Afadhali!!
Not this time..Ngoja tuone unakuaga binadamu mbishi ila mwisho wa siku i win...
Sio kwa mpoteo ule wa ghafla ghafla kila mahali.Yaani
Ngoja tuone...Not this time..
Jiandae kushindwa na usiwe mbishi round hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!Mimi na wewe tena!! Nakupenda hadi naogopa.
🤣🤣Nimempenda Zai!ulikuwa unaleta usistaduuRafiki yangu zai..najua utakua tu humu...
Tulikutana hostel 2013..nilikupenda Sana hakii Tena ..ulikua na moyo wa kipekee mno ..licha ya uzuri wa kiburushi na kishirazi ulipewa moyo mzuri mnoo...ulinipenda shoga ako pasi kujali mood swing zangu😂😂😂😂....hukua mtu wa kuweka vitu moyoni nikivurunda unanichana..gumu lako langu langu lako..chako changu changu chako..mfanya assignment zangu🤗🤗..Jamani nyiee zai..ulikuwa rafiki wa wengi na dada wa wengi..ulinibadilisha mnooo
Nakumbuka Kuna siku nimetoka home na dumu la Mafuta na viazi vingi..kiutani utani ukaniambia kesho tutaanza kupika kachori🤣🤣🤣🤣 nilikuangalia nikacheka mnoo nikajua unatania siku iliyofuata ukaniamsha asubuhi na mapema tuandae kachori nilichukia lakini Basi tu ningefanyaje🤣🤣🤣🤣..nakumbuka tulipokua tunaenda kuuza kachori hostel za jirani nilikua najificha nyuma yako 🤦🤦...ukaniambia nisiwe na aibu kwenye kutafuta ili hali hatufanyi dhulma😂😂😂😂(kwenye hii biashara ulinifunza vitu vizuri mno)
Wewe Dada Nina mengi ya kukuambia ..umenifunza mengi mnooo Yani mnooooo...nakumbuka mara ya mwisho kuwasiliana nawe ilikua mwaka 2016 ukanitumia picha yako ya ujauzito ukanambia upo oman umeolewa ila utarudi zanzibar..(hatimaye ndoto yako ya kuolewa na kuwa Mama ilitimia).I miss you so much dear Z.A
Nimemiss moments za kuzurura kkoo kwenda kuchukua vitu vya bure kwenye maduka ya ndugu zako 🤣🤣🤣🤣
Ni Mimi rafikiyo c kibonge😂😂
Babe unanicheka[emoji85][emoji85][emoji85][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
Usisahau juice ya mgonjwa tafadhaliNgoja tuone...
Mgonjwa dawa yako siyo juice...Usisahau juice ya mgonjwa tafadhali
🤣🤣🤣🤣Zai alikua anqzingua..ingawa alinifunza🤣🤣Nimempenda Zai!ulikuwa unaleta usistaduu
Una utani wa ngumi wewMgonjwa dawa yako siyo juice...