Special thread: Missing someone with special memories in your life

Yani...alafu kupitia huu Uzi nimegundua watu wengi wapo kwenye mahusiano/ndoa na patners wasiowatarajia
Kabisaaaa tumeangukia kwingne kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi angekuwepo M mie ningechachawa km now? Ninge shine mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisaaaa tumeangukia kwingne kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi angekuwepo M mie ningechachawa km now? Ninge shine mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣..Mdogo angu shukuru likuepukalo Lina kheri nawewe..Huenda huko mbeleni angekutwanga na kitu heavy usingeamini 😂😂😂😂
 
Uh huenda kuna baya lilimkuta, just for no reason awe off kwa mitandao yote kweli? Huenda lipo jambo, walau ungekuwa unamfaham yeyote katika marafiki au ndugu, au labda anapoishi/anapofanyia kazi.

Pole sana!
Hata mimi nawaza hivyo, ila sasa simjui yeyote mbali na yeye, kumbuka tumekutana tu hapa JF na hatujawahi onana, sema kuna baadhi ya watu anawafahamu na mimi nawafahamu ila sijui naanzia wapi kuuliza
 
Wacha wee, hebu nikikaa sehemu nzuri. Ntashusha kisa cha mela wako M, now yuko huko Rwanda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Mdogo angu shukuru likuepukalo Lina kheri nawewe..Huenda huko mbeleni angekutwanga na kitu heavy usingeamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ni kweli eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…