Sheffer95
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 211
- 515
So u do wish to know the author and what I will write sio😂😂😂😂
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So u do wish to know the author and what I will write sio😂😂😂😂
Ngoja tuone
Zamani tulikuwa tunaambiwa eti ukipiga picha relini picha inaungua🤣😅Nitumie picha ya hilo kabati aisee😆😆
Ndiyo ndiyo...shusha vituSo u do wish to know the author and what I will write sio
Okay fungua private message(pm) nianze kushusha vitu😁 maana umelimitNdiyo ndiyo...shusha vitu
😂😂😂😂😂Tulia hapo hapo..narudi.Okay fungua private message(pm) nianze kushusha vitu😁 maana umelimit
Thank you Grandson, you're missed too 😘
😆😆😆nimetulia kama maji mtungini😂😂😂😂😂Tulia hapo hapo..narudi.
Nashukuru sana mkuu🙏🏼Pole
Amen
Nashukuru mkuu. 🙏🏼Pole sana
CCM bado wanaendelea kudanganya, eti wanatumia mabilioni kukimbiza mwenge kwasababu mwenge unaleta amani. Kama mwenge unaleta amani kwanini hawaupeleki Ukraine 🇺🇦 ukalete amani dunia itulie na hali ya uchumi na usalama ikae vizuri?Zamani tulidanganywa sana, sikuhizi hawatupati ng'oo
Nimesikia huko wakisema ccm ni kubwa kukiko serikali yaaniCCM bado wanaendelea kudanganya, eti wanatumia mabilioni kukimbiza mwenge kwasababu mwenge unaleta amani. Kama mwenge unaleta amani kwanini hawauoeleki Ukraine 🇺🇦 ukalete amani dunia itulie na hali ya uchumi na usalama ikae vizuri?
Mfumuko wa bei uko juu sana sababu ya mchafuko Ukraine 🇺🇦, sijui CCM na mwenge wao hawajasikia kinachoendelea huko?
Nimesikia huko wakisema ccm ni kubwa kukiko serikali yaani
Hivi mwenge una uhusiano gani na amani kwa mfano, haya mambo ni ya kijinga kabisa, kwamba wakipitisha mwenge barabarani amani inapatikana automatically hata kama kuna vitendo vya uonevu vinatokea na havikemewi
Hahaha"If you expect nothing from somebody you are never disappointed.”
Expectations always hurt
Bado wewe utupe story zakoKumbe jf kuna malove story hatari. Mbona hamkusema mapema