Special thread: Missing someone with special memories in your life

Mpaka mwenyewe siamini,I don't miss anybody else.I miss the old me,mtu ambaye nilikuwa na upendo mkubwa tu moyoni mwangu.
Ila kwa sasa naona kabisa ni rahisi kumchukia mtu kuliko kupenda,ndo hapa nilipokuja kujua kuwa binadamu hawazaliwi na roho mbaya Ila zinatengenezwa kwenye hii dunia.
Unawapenda watu kwa roho zote Kisha watu hao hao ndo wanakupa sababu sio tu za kuwachukia wao Ila za kuchukia hizo hisia za kumpenda mtu,sio tu kwenye mahusiano ya kimapenzi hata mahusiano mengine na mnaohusiana.
 
Hata muamue iwe fwb tu lazima mmoja ataumia tu .
Ile kitu inaleta closure kati yenu
Na mara nyingi mwanaumke ndio anaumia...sijui kuna nini kwenye mkunyenye ambao unawafanya nyie wanawake mtake zaidi ya kupelekewa moto?
Ila nafikiri tatizo kubwa la fwb ni kwamba kuna mmoja anaingia akiwa na hopes kwamba mbeleni mambo yatabadilika
 
Mpaka mwenyewe siamini,I don't miss anybody else.I miss the old me,mtu ambaye nilikuwa na upendo mkubwa tu moyoni mwangu.
Ila kwa sasa naona kabisa ni rahisi kumchukia mtu kuliko kupenda,ndo hapa nilipokuja kujua kuwa binadamu hawazaliwi na roho mbaya Ila zinatengenezwa kwenye hii dunia.
Unawapenda watu kwa roho zote Kisha watu hao hao ndo wanakupa sababu sio tu za kuwachukia wao Ila za kuchukia hizo hisia za kumpenda mtu,sio tu kwenye mahusiano ya kimapenzi hata mahusiano mengine na mnaohusiana.
Pole sana
 
Na mara nyingi mwanaumke ndio anaumia...sijui kuna nini kwenye mkunyenye ambao unawafanya nyie wanawake mtake zaidi ya kupelekewa moto?
Ila nafikiri tatizo kubwa la fwb ni kwamba kuna mmoja anaingia akiwa na hopes kwamba mbeleni mambo yatabadilika

Acha tu mara nyingi ke tunachukulia vitu serious mno .. halafu bhana upendo haungalii kama huyu alikuwa wa kupita wala nini , ukifall in love umefall tu .

Hahaha ukipata anayejua kupeleka vizuri hakika utataka awe yeye tu .. mapenzi ni ujinga

Kujiwekea hopes ndo shida hapo sasa hilo haliepukiki mara pah umeingia mazima .
 
Aisee itabidi nifanyie research hawa wadhungu tunaowatoa wana nini?
Kwa mwanamke zinaongeza hisia za mapenzi...lakini kwa sie wanaume ndio kwanza unaanza kumkinai demu 🤣🤣🤣🤣
Ila kuna mademu wengine wao fwb wanaziwezea balaa...yaani wao kupeana utamu basi no feelings wala nini mnapata gud time pamoja basi na wala hana mambo ya kukufuatilia
 
Aisee itabidi nifanyie research hawa wadhungu tunaowatoa wana nini?
Kwa mwanamke zinaongeza hisia za mapenzi...lakini kwa sie wanaume ndio kwanza unaanza kumkinai demu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kuna mademu wengine wao fwb wanaziwezea balaa...yaani wao kupeana utamu basi no feelings wala nini mnapata gud time pamoja basi na wala hana mambo ya kukufuatilia

Hebu anza utafiti uje kutupa majibu
Nyie wanaume mnajua mnafanya nini kuwa hii ni hit and run tu hakuna cha upendo hapa.

Hao ke wanaoweza bila shaka wanafanya for fun au ilimradi wapate hizo benefits ila wanayaweza aisee
 
Kuna mmoja nipo nae yaani yupo peace kinoma, alafu anakupigia simu kabisa hey am horny wana meet up....hadi raha. Na tunapiga story kabisa jinsi anavyogegedana na wanaume wengine. She is special na hana wivu kabisabenefits zenyewe kwani nkubwa basi...outing tuu na labda ile akiwa ameba wa anaomba umkoleahe na anarudisha. Yaani very independent lady
 
Mweh huyo anaweza aisee
Inaonekana mna bond flani nyie wawili
Anaonekana pia Yuko matured enough
 
Back
Top Bottom