muxar
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,645
- 1,337
Mpaka mwenyewe siamini,I don't miss anybody else.I miss the old me,mtu ambaye nilikuwa na upendo mkubwa tu moyoni mwangu.
Ila kwa sasa naona kabisa ni rahisi kumchukia mtu kuliko kupenda,ndo hapa nilipokuja kujua kuwa binadamu hawazaliwi na roho mbaya Ila zinatengenezwa kwenye hii dunia.
Unawapenda watu kwa roho zote Kisha watu hao hao ndo wanakupa sababu sio tu za kuwachukia wao Ila za kuchukia hizo hisia za kumpenda mtu,sio tu kwenye mahusiano ya kimapenzi hata mahusiano mengine na mnaohusiana.