Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
I miss youBabe nini mbaya! You know vile nakupenda mume wangu right?
Sasa usipolala kwa raha mie vitalalika kweli?
I love you so much
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I miss youBabe nini mbaya! You know vile nakupenda mume wangu right?
Sasa usipolala kwa raha mie vitalalika kweli?
Huyo kweli yupo matured...yeye focus yake ni just to have fun. The chemistry is amazing...she is great company ila pia ameishi nje ya nchi long time so hiyo background pia inachangiaMweh huyo anaweza aisee
Inaonekana mna bond flani nyie wawili
Anaonekana pia Yuko matured enough
Hana uswahili huyo kabisaHuyo kweli yupo matured...yeye focus yake ni just to have fun. The chemistry is amazing...she is great company ila pia ameishi nje ya nchi long time so hiyo background pia inachangia
Oooh baba bulubendi wangu, i missed you like crazy. How are you love?I miss you
I love you so much
I am not fine I am so stressed right nowOooh baba bulubendi wangu, i missed you like crazy. How are you love?
Love you more[emoji173]
What is wrong my love?I am not fine I am so stressed right now
I just want you to know that I love youOooh baba bulubendi wangu, i missed you like crazy. How are you love?
Love you more[emoji173]
Aaaaw!! This means alot babe. I love you more [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]I just want you to know that I love you
You are the only one who have tried to love me here Jf
I don't even know you, you don't even know me
I can't explain how much your love means to me
But it means everything to me
Our little jokes on baba bulubendi they are everything
I love you Espy [emoji3531]
I know, ila hakuna kitu rahisi mpenzi. Just hang in there, soon utamaliza. I believe in you and i know you can do it [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Shule
Medicine school is tough
Hata ukibadilisha id unaona navyokugundua... HarakaAaaaw!! This means alot babe. I love you more [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji3590][emoji177]I know, ila hakuna kitu rahisi mpenzi. Just hang in there, soon utamaliza. I believe in you and i know you can do it [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Anatoka a well off family ila she is humble as it gets. Kuna muda nasema sijui niweke kambi hapa lakini mhm anavyoniambiaga plans zake naona kabisa huyu yupo career focused....kuwa mke ni kitu cha mwisho kabisaHana uswahili huyo kabisa
Eeh kumbe ndo maana anaelewa anachofanya
Hao wadada unaotoka nao ni high class bhana
Hahaaa! Huwa siendi mbali sana, hivyo najua lazima ujue.Hata ukibadilisha id unaona navyokugundua... Haraka
That's my love to you
Anaonekana tu huyo ni wa kishua ..Anatoka a well off family ila she is humble as it gets. Kuna muda nasema sijui niweke kambi hapa lakini mhm anavyoniambiaga plans zake naona kabisa huyu yupo career focused....kuwa mke ni kitu cha mwisho kabisa
Kabisa...alafu sii hamna presha toka kwa wazazi. Mhm angekuwa wakibongobongo angekuwa anawekwa vikao tuu.Anaonekana tu huyo ni wa kishua ..
Dah ndo shida hapo ndo maana anaweza kuvumilia fwb ...mawazo ya ndoa hayapo kabisa kichwani mwake .
Kabisa...alafu sii hamna presha toka kwa wazazi. Mhm angekuwa wakibongobongo angekuwa anawekwa vikao tuu.
Kuna mwengine huko nyuma we had a fling bwana amesaka ndoa wapi watu wanajipigia na kisepa mwishoe mrembo kaona isiwe tabu wacha nimlengeshee jomba nipate mtoto maana ndoa imekuwa mtihani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CCM bado wanaendelea kudanganya, eti wanatumia mabilioni kukimbiza mwenge kwasababu mwenge unaleta amani. Kama mwenge unaleta amani kwanini hawaupeleki Ukraine [emoji1255] ukalete amani dunia itulie na hali ya uchumi na usalama ikae vizuri?
Mfumuko wa bei uko juu sana sababu ya mchafuko Ukraine [emoji1255], sijui CCM na mwenge wao hawajasikia kinachoendelea huko?
Kwa mwanamke bongo ni presha kubwa sana ...unakuta mwisho mama mzazi mwenyewe anakupiga madomgo...oh mbona mie naishi kuchangia harusi za wezangu tuu....wee lini utaleta mume. Mara oh nahitaji mjukuu basi ni shida.Huku bongo aisee tunakoma sio wazazi ila mtaa mzima unakuhoji kwa nini bado hujaolewa ? Kukiwa hakuna pressure basi hapo hawezi kuwaza ndoa kabisa .
Leo nimemshushua mtu huyo ,nikamwambia akome kufuatilia maisha yangu hayamhusu .. huyu amenikera saa kumi na mbili ananiudhi .
Ndoa imekuwa changamoto sana siku hizi , watu wanaamua wazae tu watoto watulie .. Mungu tu afungue njia .
Kwa mwanamke bongo ni presha kubwa sana ...unakuta mwisho mama mzazi mwenyewe anakupiga madomgo...oh mbona mie naishi kuchangia harusi za wezangu tuu....wee lini utaleta mume. Mara oh nahitaji mjukuu basi ni shida.
Ndio kama hivyo wanawake wanajiongeza tuu...bora kuzaaa au ndio hivyo anapata kamujamaa wanafunga ndoa anabeba mimba baada ya hapo vurugu maana alishaolewa kamnyamazisha mama yameisha.