Special thread: Missing someone with special memories in your life

Hatukugombana, tuliwasiliana tu vizuri then few hrs later akawa harespond nikjua labda atakua busy, next day passed hakupatikana mpaka na leo, I do not know what happened to him
Alikuwa anaongelea ongelea siasa sana?. Kama alikuwa anaongelea siasa sana awamu iliyopita atakuwa ameangukia mikononi mwa wasiojulikana. A.k.a wamejulikana,mikononi mwa wakoromije
 
Alikuwa anaongelea ongelea siasa sana?. Kama alikuwa anaongelea siasa sana awamu iliyopita atakuwa ameangukia mikononi mwa wasiojulikana. A.k.a wamejulikana,mikononi mwa wakoromije
Hapana, ni mtu ambae hata alikua hayupo active hapa kwenye kuchangia mada hapa JF, alikua very cool na alikua anaishia kulike tu,kwa kifupi hata ID yake sio maarufu
 
Hata mimi nawaza hivyo, ila sasa simjui yeyote mbali na yeye, kumbuka tumekutana tu hapa JF na hatujawahi onana, sema kuna baadhi ya watu anawafahamu na mimi nawafahamu ila sijui naanzia wapi kuuliza
Kama unadhani watakuwa msaada, na wewe unadhani bado unamhitaji basi swallow your pride na waulize.

Seems your friendship was almost to the next level. Sasa jifanye huelewi na waulize hao unaodhani watajua alipo, ukimpata ni heri, Ila pia jiandae kwa lolote...death, sickness or kakukimbia(hataki interaction tena)! Kumbuka dunia hii tunapita.
 
Asante kwa ushauri ndugu
 
Back on the day, alikuwepo cacico, Pearl, Suzie, aisee, tukawa kama ndugu.

Mmoja akanipa moyo wake, hadi leo nimeutunza vizuri kabisa kwenye kabati lililotengenezwa kwa amethysts, smoke quartz, rubies, na serpentine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…