Special thread: Missing someone with special memories in your life

Aisee pole kwake
 
Aisee, kama unajua utamuumiza tena ni bora uendelee kujiweka mbali nae
 
Mtoa mada pole sana asee

Kuna wakati unaweza mpoteza mtu unayempenda au uliyemzoea sana (mpenzi/rafiki) hadi unabaki huamini lakini ndiyo inakubidi ukubaliane na hali halisi haijalishi unaumia kiasi gani

Love/friendship may end but memories will last forever
 
Asante sana rafiki
 
People fall in / People fall out. Love & Life.
 
Ah mie mbona ipo ila tatizo mie sio msimuliaji mzuri ila kuna warembo kama watatu humu nimekuwa na mahusiano nao na kuna mmoja mpaka leo natamani turudiane ila ndio hivyo kanichinjia baharini

"If you expect nothing from somebody you are never disappointed.”

Expectations always hurt
Don't be attached!!
 
Ndyoooo.
 
I miss her, but I can't mention her name here.
 
Kwenye maisha yangu nimekutana na wakaka wawili ambao waliugusa moyo wangu ila cha ajabu hatuwezi kuwa wote.na hatuna mawasiliano kwa sasa.mmoja niliwahi kukutana nae mmoja sikuwahi kukutana nae.

Nakili kuwa wako tofauti na wakaka wengine ingawa nao walikuwa na mapungufua yao ila yanavumilika.

Hivi wakaka wa hivi kwa nini sio wengi?

Positively: walikuwa na sifa ya usafi, jamani huyu kaka alikuwa msafi sina mfano wake, meno yake,kunukia vizuri,perfume za gharama afu wote warefu.

Negatively, wote wabahili ila mmoja sio bahili sana. Mwingine nilijuwa atabadilika.

Afu wote wananizidi umri sifa muhimu.

Dah mwanaume anakunywa pombe mimi sinyi pombe ila akifika hata kabla hayanisalimia anawahi bafuni na kupiga mswaki na kuoga na zile sabuni zake zinanukia.

We nyau nimekumisi.ingawa tushaliweka sawa hatuwezi kuwa wote. Miaka sasa imepita. Bila shaka uko hai.
Anyway maisha lazima yaendelee.
 
Aisee, pole sana, bila shaa nyau bado yupo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…