Special thread: Missing someone with special memories in your life

Daah kuna mwanamke nilimuumiza sana, na bado ananipenda sana ninamkumbuka sana ila ninajijua nitamuumiza tena hivyo nimeamua kukaa mbali naye aishi maisha yake, apate furaha. Alijaribu kujiua once, kwa sababu yangu ndio sabqbu inayonipa mashaka hata kuwa naye karibu
Aisee pole kwake
 
Aisee, kama unajua utamuumiza tena ni bora uendelee kujiweka mbali nae
 
Mtoa mada pole sana asee

Kuna wakati unaweza mpoteza mtu unayempenda au uliyemzoea sana (mpenzi/rafiki) hadi unabaki huamini lakini ndiyo inakubidi ukubaliane na hali halisi haijalishi unaumia kiasi gani

Love/friendship may end but memories will last forever
 
Asante sana rafiki
 
As humans, we naturally connect to people and build bonds and relationships over time. We can miss people for a multitude of reasons, but one thing is for sure, once that emotion arises, it can be hard to shake it. When you miss someone there's no denying that raw emotion. You can't get it out of your head, and it lingers, like an annoying fly buzzing around in the summertime. Missing someone is quite common, but what you do when you feel that way can vary.

This thread is special for whoever might be missing someone, tell the reason for missing and dedicate any special song that might make your emotions meaningful, whether you miss them for positive or negative reasons.

NB:Nimeanzisha huu uzi kwa sababu kumekua na wimbu kubwa la nyuzi zinazowakumbuka wapenzi wa nyuma (first love/soullmates/friends/exlovers or anyone special) nimeona ni vizuri tukawa na uzi mmoja ambao kila mtu atakua na uhuru wa kutiririka

Binafsi I miss a person I met here in JF a few years back, ingawa hatukuwahi kuonana wala kufahamiana in-person, lakini we use to speak a lot overnight through Whatsapp Calls, we spoke of life, music, work, politics, kids and everything, we fought sometimes kwa sababu ya wivu wa hapa na pale Kwa sababu ya comments za majukwaani ila was easy to resolve issues, we planned for better moments in future but all of sudden he disappeared without a single word, I am so worried about him because he is not reachable hapa JF na kwenye accounts zake za mitandao mingine. I am really worried.

wherever you are J, I pray that you are in good health. Although you walked out of my life, I will never stop missing you because my heart doesn’t want to say goodbye. Months have passed but your memories make me miss you so much, I miss that romantic and calm voice of yours, it keeps rolling deep in my ears. I only hope one day you will come back.

karibuni.
People fall in / People fall out. Love & Life.
 
Ah mie mbona ipo ila tatizo mie sio msimuliaji mzuri ila kuna warembo kama watatu humu nimekuwa na mahusiano nao na kuna mmoja mpaka leo natamani turudiane ila ndio hivyo kanichinjia baharini

"If you expect nothing from somebody you are never disappointed.”

Expectations always hurt
Don't be attached!!
 
Mtoa mada pole sana asee

Kuna wakati unaweza mpoteza mtu unayempenda au uliyemzoea sana (mpenzi/rafiki) hadi unabaki huamini lakini ndiyo inakubidi ukubaliane na hali halisi haijalishi unaumia kiasi gani

Love/friendship may end but memories will last forever
Ndyoooo.
 
As humans, we naturally connect to people and build bonds and relationships over time. We can miss people for a multitude of reasons, but one thing is for sure, once that emotion arises, it can be hard to shake it. When you miss someone there's no denying that raw emotion. You can't get it out of your head, and it lingers, like an annoying fly buzzing around in the summertime. Missing someone is quite common, but what you do when you feel that way can vary.

This thread is special for whoever might be missing someone, tell the reason for missing and dedicate any special song that might make your emotions meaningful, whether you miss them for positive or negative reasons.

NB:Nimeanzisha huu uzi kwa sababu kumekua na wimbu kubwa la nyuzi zinazowakumbuka wapenzi wa nyuma (first love/soullmates/friends/exlovers or anyone special) nimeona ni vizuri tukawa na uzi mmoja ambao kila mtu atakua na uhuru wa kutiririka

Binafsi I miss a person I met here in JF a few years back, ingawa hatukuwahi kuonana wala kufahamiana in-person, lakini we use to speak a lot overnight through Whatsapp Calls, we spoke of life, music, work, politics, kids and everything, we fought sometimes kwa sababu ya wivu wa hapa na pale Kwa sababu ya comments za majukwaani ila was easy to resolve issues, we planned for better moments in future but all of sudden he disappeared without a single word, I am so worried about him because he is not reachable hapa JF na kwenye accounts zake za mitandao mingine. I am really worried.

wherever you are J, I pray that you are in good health. Although you walked out of my life, I will never stop missing you because my heart doesn’t want to say goodbye. Months have passed but your memories make me miss you so much, I miss that romantic and calm voice of yours, it keeps rolling deep in my ears. I only hope one day you will come back.

karibuni.
I miss her, but I can't mention her name here.
 
Kwenye maisha yangu nimekutana na wakaka wawili ambao waliugusa moyo wangu ila cha ajabu hatuwezi kuwa wote.na hatuna mawasiliano kwa sasa.mmoja niliwahi kukutana nae mmoja sikuwahi kukutana nae.

Nakili kuwa wako tofauti na wakaka wengine ingawa nao walikuwa na mapungufua yao ila yanavumilika.

Hivi wakaka wa hivi kwa nini sio wengi?

Positively: walikuwa na sifa ya usafi, jamani huyu kaka alikuwa msafi sina mfano wake, meno yake,kunukia vizuri,perfume za gharama afu wote warefu.

Negatively, wote wabahili ila mmoja sio bahili sana. Mwingine nilijuwa atabadilika.

Afu wote wananizidi umri sifa muhimu.

Dah mwanaume anakunywa pombe mimi sinyi pombe ila akifika hata kabla hayanisalimia anawahi bafuni na kupiga mswaki na kuoga na zile sabuni zake zinanukia.

We nyau nimekumisi.ingawa tushaliweka sawa hatuwezi kuwa wote. Miaka sasa imepita. Bila shaka uko hai.
Anyway maisha lazima yaendelee.
 
Aisee, pole sana, bila shaa nyau bado yupo hai
 
Back
Top Bottom