Special thread: Missing someone with special memories in your life

Maisha yanatutenganisha na wapendwa wetu. Hivyo basi kila mtu apatapo chance ya kuenjoy na mtu awe rafiki au yyte enjoy coz ikipita imepita

Wanadamu tunabadilika yule uliyenae Leo anaweza asiwe yeye wa kesho au wewe wa kesho

Mtu mkishatengana moja. 1. Awee mzuri Zaidi au awee mbaya zaidi

Sio mbaya your story imenigusa na mimi niwekee yangu
 
Hiyo miguu ilivyo mizuri kwa nini asikutafute, basi mtafute wewe kama vipi..? Huenda mwamba ana girlfriend wake huko wala hana time, vunja ukimya...
Nikimtafuta tunaongelea kazi tu.ila mimi nina jambo langu.i need to do this very professional we subiri. Humo humo kwenye kazi nafasi itapatikana.
 
Kuna mdada nilimpenda...nilimpenda ...yaani nilimpenda ila hasira hasara ....nawaomba mazee msije kua na wivu na hasira kama za kwangu mtakosa watu mtaowapenda kwa dhati

Ni hayo tu.
 
Nikimtafuta tunaongelea kazi tu.ila mimi nina jambo langu.i need to do this very professional we subiri. Humo humo kwenye kazi nafasi itapatikana.
....japo anaweza kukukula na kukuacha ubungo junction hasa akijua kuwa umezimika kwake.

Vunja ukimya, hata kimasihara basi ikiwezekana manake kama kweli angekuona unafaa kuwa mke na mama wa watoto wake angeshafanya move zamani sana.
 
Sababu nazijua ziko mbili, moja status yake ni kubwa mno for sake of his familylazima awe hivyo, ya pili naitunza😊 .tho hizo sababu hazinihusu, mimi nina malengo yangu.

Dear God plz one more chance, nimemiss anavyoshuka kimarikia, alinisimulia alikosomea, hiyo Birmingham inavyotamkwa sasa.😀😀😀 oh this man speaks nice dah.
 
Kuna mdada nilimpenda...nilimpenda ...yaani nilimpenda ila hasira hasara ....nawaomba mazee msije kua na wivu na hasira kama za kwangu mtakosa watu mtaowapenda kwa dhati

Ni hayo tu.
Mpigie simu muombe msamaha
 
Miaka mingi sana iliyopita nikiwa kijana mdogo sana naanza mapenzi moyo haukuwa na kovu lolote.

Nilikuwa very shy, gentle and caring young man.... Nikakutana na huyu mdada. Na aibu zangu hizo sikumtongoza tulikutana kijamii tukaelewana then we became lovers unexpectedly lakini likawa penzi tamu lisiloelezeka kimaandishi.

Ni kama nilinvunjika moyo, kila mahusiano niliyoanzisha baada yake naona kama yana mapungufu sababu nilijaribu kupima. Wanaonipenda wanailaumu sina mapenzi, najitahidi sana kuitafuta furaha ya penzi lakini sijawahi ifikia furaha ile.

Rest in peace my dear ****
 
So sad,pole Sana Mkuu, Mimi pia I still fondly remember the good old days when I was this young and caring young Man
 
Kuna mdada nilimpenda...nilimpenda ...yaani nilimpenda ila hasira hasara ....nawaomba mazee msije kua na wivu na hasira kama za kwangu mtakosa watu mtaowapenda kwa dhati

Ni hayo tu.
I'm going through this right now, usiku ule nilikuwa na hasira maana alinijibu majibu ya kuumiza nikamtext kumfokea she tried to calm things down lakini Mimi hasira zilikuwa juu nikamwambia afute na namba yangu

I lost the best woman in my life, nimekuwa mtu wa kujibembeleza kulala, I'm now emotional unstable
 
Pole
 
Pole sana, mbona umemalizia na Rest in Peace, alishafariki?
 
Kuna mdada nilimpenda...nilimpenda ...yaani nilimpenda ila hasira hasara ....nawaomba mazee msije kua na wivu na hasira kama za kwangu mtakosa watu mtaowapenda kwa dhati

Ni hayo tu.
Pole sana, wivu uliopitiliza huo
 
Pole sana
 
Ila tujifunze kutokuwa na matarajio makubwa kwa wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…