Special thread: Missing someone with special memories in your life

Special thread: Missing someone with special memories in your life

Hatukugombana, tuliwasiliana tu vizuri then few hrs later akawa harespond nikjua labda atakua busy, next day passed hakupatikana mpaka na leo, I do not know what happened to him
I met someone like that a while ago. Right here in JF.

We were not lovers or anything....but I really miss him.

Miss you gobore. You disappered since 2016... but hope you are well.

Thank you for your friendship.
 
Rafiki yangu zai..najua utakua tu humu...

Tulikutana hostel 2013..nilikupenda Sana hakii Tena ..ulikua na moyo wa kipekee mno ..licha ya uzuri wa kiburushi na kishirazi ulipewa moyo mzuri mnoo...ulinipenda shoga ako pasi kujali mood swing zangu😂😂😂😂....hukua mtu wa kuweka vitu moyoni nikivurunda unanichana..gumu lako langu langu lako..chako changu changu chako..mfanya assignment zangu🤗🤗..Jamani nyiee zai..ulikuwa rafiki wa wengi na dada wa wengi..ulinibadilisha mnooo
Nakumbuka Kuna siku nimetoka home na dumu la Mafuta na viazi vingi..kiutani utani ukaniambia kesho tutaanza kupika kachori🤣🤣🤣🤣 nilikuangalia nikacheka mnoo nikajua unatania siku iliyofuata ukaniamsha asubuhi na mapema tuandae kachori nilichukia lakini Basi tu ningefanyaje🤣🤣🤣🤣..nakumbuka tulipokua tunaenda kuuza kachori hostel za jirani nilikua najificha nyuma yako 🤦🤦...ukaniambia nisiwe na aibu kwenye kutafuta ili hali hatufanyi dhulma😂😂😂😂(kwenye hii biashara ulinifunza vitu vizuri mno)

Wewe Dada Nina mengi ya kukuambia ..umenifunza mengi mnooo Yani mnooooo...nakumbuka mara ya mwisho kuwasiliana nawe ilikua mwaka 2016 ukanitumia picha yako ya ujauzito ukanambia upo oman umeolewa ila utarudi zanzibar..(hatimaye ndoto yako ya kuolewa na kuwa Mama ilitimia).I miss you so much dear Z.A
Nimemiss moments za kuzurura kkoo kwenda kuchukua vitu vya bure kwenye maduka ya ndugu zako 🤣🤣🤣🤣

Ni Mimi rafikiyo c kibonge😂😂
Zai alikua rafiki wa kweli
 
I met someone like that a while ago. Right here in JF.

We were not lovers or anything....but I really miss him.

Miss you gobore. You disappered since 2016... but hope you are well.

Thank you for your friendship.
I hope atakua amesoma hapa
 
Back
Top Bottom