Special thread: Missing someone with special memories in your life

Kitambo kidogo Kuna kadada kaliomba one night stand humuhumu kwenye majamvi yetu siku kadhaa kabla ya Valentine...
Tulikubaliana hakuna kutumiana picha tutakachokutana ni hicho sababu ni one night stand haidhuru.
Tulikua tunaongea sana kwenye simu nikajikuta nimempenda,ila siku moja tu alitoweka hewani na jf hapatikani mpaka leo.
 
You're missed sana shem, sikusomi wala siku hizi...shida ni huyo mdogo wako...ananipa stress sana!
Pole Shem...pole sana..

Mvumilie tu Shem wangu..Mimi mwenyewe namvumilia na vingi sina namna....

Yatakwisha[emoji28]
 
Hakika yatakwisha, sema nitakuwa nimechoka sana!

Kuna sehem unapitaga kwa kunyata sana, kivuli chako sikioni mdaaaa![emoji39]
 
Kitambo kidogo Kuna kadada kaliomba one night stand humuhumu kwenye majamvi yetu siku kadhaa kabla ya Valentine...
Tulikubaliana hakuna kutumiana picha tutakachokutana ni hicho sababu ni one night stand haidhuru.
Tulikua tunaongea sana kwenye simu nikajikuta nimempenda,ila siku moja tu alitoweka hewani na jf hapatikani mpaka leo.
Akakuacha na hamu zako masikini[emoji1787][emoji1787]
Pole sana.
 
Back
Top Bottom