Special thread: Missing someone with special memories in your life

Kitambo kidogo Kuna kadada kaliomba one night stand humuhumu kwenye majamvi yetu siku kadhaa kabla ya Valentine...
Tulikubaliana hakuna kutumiana picha tutakachokutana ni hicho sababu ni one night stand haidhuru.
Tulikua tunaongea sana kwenye simu nikajikuta nimempenda,ila siku moja tu alitoweka hewani na jf hapatikani mpaka leo.
Pole sana
 
Unatukosea Shem...Unakosea...
Watoto gani tena hapa[emoji23]
Sisi ni wale Ma Aunties wa Bunju[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, ma aunties wa bunju! Basi wakubwa wenzangu Ila sio wazee wenzangu, nyie bado mifupa inatafunika.
 
Back
Top Bottom