Special thread: Missing someone with special memories in your life

Mimi ni mtu wa Aje Kwanzia mwanzo wa Uzi mpaka hapa Sijakumbukwa na yeyote. Je mimi kuna niliopotezana nao na ningetamani nikutane nao siku moja!?

Kuna hisia zinaniambia kuna mahali ntakuwa n Damu yangu(Mtoto) Ila Kila nikifanyaga Juhudi za kumtafuta Muhusika nashindwa kabisa kuunganisha ABC ila MUNGU ni MUNGU kama kweli Damu yangu ipo Mahali naomba siku moja anikutanishe nayo kwa Njia yeyote kwan haikuwa Mapenzi yangu kuiacha ikiteseka pasipo Baba.
 
Na mara nyingi mwanaumke ndio anaumia...sijui kuna nini kwenye mkunyenye ambao unawafanya nyie wanawake mtake zaidi ya kupelekewa moto?
Ila nafikiri tatizo kubwa la fwb ni kwamba kuna mmoja anaingia akiwa na hopes kwamba mbeleni mambo yatabadilika

Aliekudanganya mwanamke ndio anaumia ni nan?
Wote wanaumia kwa muda wake… mwanamke anaumia mwanzoni na ni rahisi kusahau na mwanaume anaumia badae na ni vigumu kusahau sema wanajikutaga manunda ila maumivu yako pale pale…
 
Exceptions zipo ila muda mwingi mwanamke ndio anaumia maana wanakuwa rahisi kujenga hisia.
Mwanaume anaumia vipi bwana wakati alishakula mbususu.
Na wapo wanawake ambao wao wanaweza kuwa fwb bila matatizo yoyote. Mwwenyewe now nipo na fwb na huyu mwanamke wala hana ahida heye anasema kabisa hapa ni migegedo tuu
 
Kukubali huwezi najua
Labla kama wewe ni mashine…
Siwezi kukupinga mzee wa migegedo
 
Back
Top Bottom