Special Thread: Mnanda, Mchiriku, vanga na Singeli Utamaduni wa kipekee unaotambulisha Tanzania kimataifa

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Thread hii ni maalumu ya kutambulisha muziki huu ambao juhudi za kuukwamisha zimeshindikana na sasa unachukua sifa duniani kote.

Katika thread hii tunaweza kupakia(upload ) na kusikiliza singeli za ndani ndani uswahilini ambazo ukisikiliza kwa makini utapata ujumbe murua na muhimu ndani yake.

Muziki huu ndio wenye kasi kuliko miziki yote duniani kwa sasa.

#leo nataka niwaone wanangu wote wanaonikataa#
#Basata

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 

Attachments

Niliwahigi Kusema.
Mwanamuziki yeyote yule atakaye fuata hiyo midundo, atapasua anga la muziki Nchini

Najivunia Utamaduni wanguπŸ‘…πŸ€ΈπŸΏβ€β™€οΈ
 
Hapa ndio penyewe, kule kwingine tunact na kuiga utamaduni wa wengine, Kuna haja yakuwa na Identity yetu inayotutambulisha kama Watanzania
 
ASili yake ni chakacha ngoma iliyopendwa sana na mashoga afrika mashariki hasa mwambao
 
Lawama tumeziozea!
Vionjo ni kama ifuatavyo:
#Eti wanadai hawanitambui,Eti wanadai hawanielewi
#Hii ni sauti ya matajiri watoto(kama wewe ni tajiri mtoto gonga like hapa)
#Hashim mtaita-Mbagala
#Juma black
#Hii ni sauti ya Utawala
#Wapi kibonge?
#Nachoka sana
#Hii ni sauti ya chigaco
 

Attachments

ASili yake ni chakacha ngoma iliyopendwa sana na mashoga afrika mashariki hasa mwambao
acha uongo ...acha kuichafua nyie ndio wale mnaoua utamaduni wetu na kutukuza wa wazungu.
 
Nipo Kimansichana hapa, sijalala bado nasikiliza singeli ya sasa ni "ushauri kwa madereva".
 
Lazima tufikiri maisha ni kitu gani?
Vionjo:
#Lazima tufikiri wapi tunapokwenda
#ukizeeka hivyo hivyo watoto watakucheka
#pistoni 6
 

Attachments

hii thread itakuja kuwa ni live!!Mungu awaongoze mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…