Special Thread: Mnanda, Mchiriku, vanga na Singeli Utamaduni wa kipekee unaotambulisha Tanzania kimataifa

Special Thread: Mnanda, Mchiriku, vanga na Singeli Utamaduni wa kipekee unaotambulisha Tanzania kimataifa

Hongera Mhe.Palamagamba Kabudi...hebu tuipe heshima yake Singeli.
 
Hongera sana Kabudi...SINGELI TO THE WORLD
 
Wakati natoka bongo kwa Mara ya kwanza nilibeba kaseti za Jagwa muzik ,kuanzia vol 1-7,nilipofika majuu wabongo walizigombania kama ugomvi kila mtu anataka asikilize yéyé,raha sana enzi hizo hakuna YouTube kama sasa.
Nalog off
 
Back
Top Bottom