Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Kabisa mkuuWosia kwa vijana huu!kwa wanaotaka kuoa sikia hii
#mbaya wako cheza naye.Jagwa walizingua Kennedy Center mwaka 2016.
Nilikwenda kuwaona Kennedy Center ukumbi wa washua kama wote wa Marekani machizi nilivyowaona nikajua kweli wamekubalika duniani.