Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Katika hizi tasnia wewe Ni jenerali,commandant,admiral,field marshal jemedari hakuna Kama wewe bosi wangu Kati hiinfani yaani wewe Ni Messi wa hii fani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji123][emoji3][emoji3][emoji3].. Blue Bird patamu sana.. ipo nyuma ya TCU hapa mlimani city .. utaona kuna mnala mkubwa sana wa simu, ukifika hapo ipo kushoto tu .. ni patamu, wana room za 50k, 60K na 70k.. ni sehemu tulivu.. mie hapa natoka kesho namalizia mission zangu hapa mjini
Sent using Jamii Forums mobile app