Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Wife wangu humu keshaoostiwa mara mbili naangalia tu movie na comments zenu. Kuna mtego nimeweka ukiingia ndani ya himaya yangu utaelewa.Wife nae nimempa za uso.
Du pole yako !!
Ila kiukweli wengi wa hawa walipostiwa humu hawaolewagi na Ni ngumu Sana kuwamiliki Kama mke , labda uwe na ukwasi wa kutosha, kikawaida hawa wanatakiwa watumike temporary tu .
Kama ni kweli umeoa mtu na amepstiwa Mara mbili kwenye Uzi huu , brother una hali ngumu ,maana naona Kuna madau Hadi milioni kadhaa kwa game la siku moja

Sent
 
binti sanga
20200705_223701.jpeg
 
Umenikatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukweli wenyewe huo ,
Niliwahi kuwa na mmoja sampuli hizi halafu moyo wangu ukawa umelipuka kweli kwake , and she was cute kwa kweli,!! Ilikuwa ngumu sana kumtuliza, na alikuwa na nyodo za kufa mtu, wakati mwingine direct kwangu analeta dharau, Nakumbuka Kuna usemi wake mmoja alikuwa anautumia Sana. Tukizinguana , utasikia penzi lenyewe nakusaidia tu wewe masikini huna hadhi ya kuwa na mie. akisema hivo ujue na utamu wenyewe hupewi hata kwa wiki kadhaa.

When smoke cleared, nikaamua tu nichukue flat screen wangu nikaweka ndani, mambo yasiwe mengi.

Neema ! popote ulipo.... Sina kinyongo na wewe , maana najua ya ulimwengu pia uliyapata nitakukumbuka tu kwa kunipa penzi Tamu lakini lilojaa masimango ya level za juu

Sent
 
Back
Top Bottom