Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
SorryAcha masihara mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SorryAcha masihara mkuu
😀😀Sikumanisha huko...anywys...vipi we wife yumo humu kwa Uzi? I mean pic?!Sorry
[emoji38][emoji38] Bado sijaoa mkuu ila kama hutojali unaweza nisaidia kutafuta wife material huko kwa mtaa si unajua tena dunia hii inavyo pelekwa mputa mputa usipo kuwa makini unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia au ukatoa boko.[emoji3][emoji3]Sikumanisha huko...anywys...vipi we wife yumo humu kwa Uzi? I mean pic?!
[emoji38][emoji38] Bado sijaoa mkuu ila kama hutojali unaweza nisaidia kutafuta wife material huko kwa mtaa si unajua tena dunia hii inavyo pelekwa mputa mputa usipo kuwa makini unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia au ukatoa boko.
Naona Ume dhamiria kunisaidia mkuu ila naomba unipe muda kidogo nitoke huku nilipo kwa sasa alafu nitakushitua tupange vita.Nipe vigezo chaap mkuu
Lakini una hela? Mwanaume mwenye hela anatamanisha Sana kitandani ..jua hilo😀🤭🤸📌Naona Ume dhamiria kunisaidia mkuu ila naomba unipe muda kidogo nitoke huku nilipo kwa sasa alafu nitakushitua tupange vita.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo si zitakuwa zimependwa pesa na sio mimi, kwa nini usinipende tu kama nilivyo ndio itapendeza zaidi?Lakini una hela? Mwanaume mwenye hela anatamanisha Sana kitandani ..jua hilo[emoji3][emoji2960][emoji1732][emoji419]
Huhuhuhuh aaah wapiiiiih, hakuna hiyooph lolHutaki followers,tuma picha watu wapande dau
Cocastic mwenye "lol" yake. You like it?Huhuhuhuh aaah wapiiiiih, hakuna hiyooph lol
[emoji419]Lakini una hela? Mwanaume mwenye hela anatamanisha Sana kitandani ..jua hilo[emoji3][emoji2960][emoji1732][emoji419]
Unapendwa wewe na vyote ulivyobarikiwa....!mapenzi yasio na hela ni kufake tu nakupeana moyo bure😔 Kama motivational supika(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo si zitakuwa zimependwa pesa na sio mimi, kwa nini usinipende tu kama nilivyo ndio itapendeza zaidi?
Mie andika yake inanichoshaga. ....anaongea herufi pasipo na herufi...lols..mfano anaweza andika hivi:;Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
Please usidharau hili swali langu!
Na mwenye Ng'ombe ?[emoji2960]Lakini una hela? Mwanaume mwenye hela anatamanisha Sana kitandani ..jua hilo[emoji3][emoji2960][emoji1732][emoji419]
Naye mtamu....😘😘Na mwenye Ng'ombe ?[emoji2960]
Huyu yuko wapi
Ouyeaaah en am feel co gudieeeeh, uwiiiiiiihCocastic mwenye "lol" yake. You like it?
Kopo hili, Eliza Mramba hana jipya