Wanawake wanaopenda kwa dhati wapo wengi sana.Ila kwa kweli dunia ya sasa mwanamme yeyote atakayeweka matumaini makubwa kwamba anapendwa na mwanamke na kusahau wala element kubwa sana ya ubidhaa atapata tabu sana.
Mkuu huu Uzi uliunganishwa..Me nilituma kwa uzi wa African princess kama sikosei..nikamweka na mheshimiwa huyuHivi umekosa picha zote za kutuma!?
Watu mna macho balaa! [emoji44][emoji44][emoji44]Nmemuelewa wa kushoto kabisa
Ova
Maji mengi [emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]Bukoba TanzaniaView attachment 1522531
Duuuuuh hatareeeeh sanaaahNaitwa Kiringo [emoji41][emoji41][emoji41]
Wajumbe hawana nidhamu
Anaitwa joanfaith kataraiaPili kutoka kushoto Ana mguu
Ova
Unaomba connection tu πππmara paaap! Mchizi kapost picha ya mama yakoπ±π±π±π±π±